Jamani demokrasia ya kusema ipo,ila kuna vitu vingi amesema ila oungo wake umeonekana sana kwa baadhi ya wagombea,hajatuambia kwa nn mchange hafai,pia amesema Greyson ndo anajaribu kujitokeza kwenye siasa na hajui kokote isipokuwa kanda ya ziwa,pia ameonyesha udhaifu wa kufikiri kuhusu silinde,sijui kama mtu makini angesema habari za kuwona silinde akianaza kung'aa kama zitto alivyong'aa enzi zile,kwa kipindi cha miezi 3 tu jamani jamaa huyu ni mvivu wa kufikiri...anakuwa kama maandamano ya chadema yanayoitishwa na kuwaacha watu with no way forward, kuhusu greyson unasema umemfuatilia...ongea kuhusu yeye na chama pia amezaliwa na kusomea na kuishi mikoa gani na gani...na amefanya project ngapi za jamii wapi...nasema hivyo nikiwa mwanachama wa chadema ninayemfahamu greyson ila siko ktk ushabiki wenu mpe mtu haki yake namjua ameishi hadi kusini ww waja na ushawishi huo je uburuzwaaji wake umeuona wapi..poa ila naomba pia unifafanulie kuhusu mchange,na useme nani anafaa sasa..kuhusu heche mbona sifa zake nyiingi umeacha umemkamua saanane tu kisa mlisoma nae.