4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
We jamaa naona Sasa umepitiliza ,angalia mkuu, mungu sio wa mchezo mchezoNdio Mimi Ni Mungu maana Mungu yu pamoja nami na Mimi Ni hekalu la Mungu.
Japo sidhani kwa Akili yako utanielewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa naona Sasa umepitiliza ,angalia mkuu, mungu sio wa mchezo mchezoNdio Mimi Ni Mungu maana Mungu yu pamoja nami na Mimi Ni hekalu la Mungu.
Japo sidhani kwa Akili yako utanielewa.
Wangegoma kutoka ndani, Maisha ni zaidi ya siasa, ila hawa mafedhuli watalipwa tu na Mungu.
Mataga wana jambo naye ndiyo maana kesi imefutwa juu kwa juu.Huyu Nusrat anaonekana ni pisi kali, mwenye picha yake nyingine tafadhali hasa akiwa amesimama
Mtasubiri sanaSerikali na yenyewe ndio muda wao umefika wa kuteswa na "BUNGE LA EU", acha wafedheheshwe na kuaibishwa kwa kula hela za msaada wa kupambana na Covid-19.
Malipo hapa hapa duniani. Acha wafe kwa presha na kisonono tu. Tutaweka bendera nusu mlingoti, haina noma fresh tu.
Bora awape wenyewe. Ikipelekwa huko inaenda kupigwa, chama kina hali mbaya sana sasa hivi ruzuku hakuna.Tunakushukuru , lakini kama unayo nauli basi peleka BAVICHA MAKAO MAKUU
Unadhani akaunti itasoma jina gani hapo mkuuKwanini asiweke kwenye A/C ya chama?
Kwa hiyo wewe ni shetani?Kwa hiyo we ni Mungu?