Viongozi wa BAVICHA waliokuwa wanashikiliwa Mkoani Singida wameachiwa huru

Mbona wimbo wa taifa UVCMM waliondoa Tanzania na kuimba "Mungu mmbariki Magufuli" lakini mpaka leo hakuna aliyewagusa?
Acheni kuonea watu,kama wana makosa kwanini DPP ameamua kutoendelea na kesi?

Huu mtindo wa kuwanyima watu dhamana umekuwa fashion ya awamu hii ili kuwatesa watu ambao katika angle ya kisheria,mahakama haiwezi kuwakuta na hatia!
 
Serikali ikate rufaa, haiwezekani waachiwe wakati walifanya makosa, tokea lini bendera ya Taifa inapandishwa kwa wimbo wa CHADEMA?
Duuuuh,ni bendera ya chama imepandishwa kwa wimbo wa taifa!

DPP alijua hana kesi ila kwasababu anatumika,ili awatese akawanyima dhamana na ameona hukumu imekaribia anasema hana nia ya kuendelea na kesi kwa kujua kabisa hawezi kushinda!Huu ni ushenzi wa hali ya juu,huu ni unyama,huu ni ufedhuli,huu ni ushetani!
 
We jamaa naona Sasa umepitiliza ,angalia mkuu, mungu sio wa mchezo mchezo
ThusWhy mwisho wa bandiko langunkatoa N.B kuwa sidhani Kama kwa Akili yako utanielewa, na nikweli umejidhihilisha mwenyewe kuwa Humjui Mungu Bali unae mjua wewe ni "mungu" kam ulivyo andika.a

Basi soma Hili andiko litakusaidia kunielewa na Kumjua Mungu ninae msemea Mimi;

1 KOR. 3:16-17

Hamjui ya kuwa ninyi mmekuwa hekalu la Mungu, na ya kuwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu? Kama mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu huyo. Kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi.

Usiponielewa Tena jipeleke mwenyewe Mirembe.
 
Tunahitaji mabadiliko makubwa,

Mtu kawekwa ndani zaidi ya siku 100, halafu hakuna gharama yoyote ambayo serikali inaingia, hivi wataacha vipi hii tabia kama hakuna gharama?
 
UVCMM ndo nini? wale walikua ni wasanii tu wa kawaida. Nyinyi mliufanya kama wimbo rasmi kabisa wa chama na mkauimba kwenye Mkutano wa chama chenu kukiwa na viongozi wote wa juu wa chama.
 
UVCMM ndo nini? wale walikua ni wasanii tu wa kawaida. Nyinyi mliufanya kama wimbo rasmi kabisa wa chama na mkauimba kwenye Mkutano wa chama chenu kukiwa na viongozi wote wa juu wa chama.
Sasa hao wasanii kwasababu wanamtukuza Magufuli ni sawa,ila wengine inakuwa nongwa!Acheni hizo,hii nchi yetu sote!Matendo kama hayo ndio yanasababisha mgawanyiko kwenye jamii!
Tumefanya juhudi kubwa sana kubomoa msingi wa umoja aliouacha Nyerere!Mbaya zaidi watawala hawana habari!
 
Wanasumbua famikia zao bure mbona chadema maelfu wako nje peacefully wanaendelea MA maisha yao

Wamekaa ndani wewe waliowachochea wanakula bata ubelgiji na kenya na majimboni mwao

Wao wanatoka ndani waepauka hadi basi

Wajifunze kutii sheria bila shuruti kama wameoa au kuolewa siku ingine watajikuta wake zao au waume zao wamechukuliwa na wakware
 
Hatua hii ya kuwaachia imetokana na mbinyo toka Jumuiya za kimataifa ambao umekuwa mkubwa kwa serikali iliyopo ya miaka mitano mingine.

Makamanda karibuni uraiani .
 
Nasikia nusrat hanje ameenda C.C.M.
 
May be na upo na matatizo flani,flani hivi ,ngoja niishie hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…