mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,775
- 2,198
Kwahiyo unawachagulia CCM Cha kuongea? Demokrasia mnayoiamini Iko wapi hapo?Nakumbuka mwaka 2019/2020 aliyekuwa Rais wa wakati ule, John Pombe Magufuli ambaye pia alikuwa mgombea urais wa mwaka 2020 kupitia chama cha CCM alinukuliwa akisema "Uchaguzi utakuwa huru na wa haki". Yaliyotokea kutokana na uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2019 na uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 sote tunayafahamu. Ilikuw vituko n aibu tupu.
Yapata wiki 3 zilizopita Makamu Mwenyekiti wa CCM Mh. Stephen Wassira alinukuliwa alipokuwa kwa ziara za Nyanda za Juu za Kusini akisema uchguzi wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki. Kauli kama hiyo imerudiwa na Rais Samia jana. Kauli kama hizo zinanitatiza kutokana na sababu zijazo:
1) Viongozi wa CCM wanapata wapi mamlaka ya kutoa kauli kama hizo wakati chombo kinachosimamia uchaguzi si CCM bali Tume Huru ya Uchaguzi?
2) Je inawezekana kwamba CCM inaamini kuwa kwa kuwa ndio chama tawala kwa hiyo kina mamlaka ya kusimamia uchaguzi mkuu?
3) Kama mwaka 2019/2020 kauli kama hizi zilitolewa lakini uchaguzi ukawa vituko, nini tutegemee mwaka huu?
4) Wakati kauli hizi zinatolewa na viongozi wa CCM mbona Tume iko kimya kabisa? Je imekasimisha mdaraka kwa CCM?
Ushauri wangu wa bure kwa CCM ni kwamba iepuke kutoa kauli kama hizo wakati chama hicho ni mshiriki ktika uchaguzi mkuu. Tume ijitokezo kwa uwazi kutoa mtamko yote yanayohusika na uchguzi na si kuiachia CCM.
Nawasilisha
HahahahNakumbuka mwaka 2019/2020 aliyekuwa Rais wa wakati ule, John Pombe Magufuli ambaye pia alikuwa mgombea urais wa mwaka 2020 kupitia chama cha CCM alinukuliwa akisema "Uchaguzi utakuwa huru na wa haki". Yaliyotokea kutokana na uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2019 na uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 sote tunayafahamu. Ilikuw vituko n aibu tupu.
CCM ndio tume ya uchaguzi?Kwahiyo unawachagulia CCM Cha kuongea? Demokrasia mnayoiamini Iko wapi hapo?
Hapana! Je, hawana haki ya kukubaliana na maelekezo ya Tume Huru ya Uchaguzi?CCM ndio tume ya uchaguzi?
Iliyatoa wapi? na lini? kupitia chombo gani?Hapana! Je, hawana haki ya kukubaliana na maelekezo ya Tume Huru ya Uchaguzi?
Maelekezo ya Tume Huru ya Uchaguzi ni vyama vijiandae na Uchaguzi Mkuu na CCM ndicho inachokifanya.Iliyatoa wapi? na lini? kupitia chombo gani?
Ni lini nchi hii iliwahi kuwa na uchaguzi huru na wa haki?Nakumbuka mwaka 2019/2020 aliyekuwa Rais wa wakati ule, John Pombe Magufuli ambaye pia alikuwa mgombea urais wa mwaka 2020 kupitia chama cha CCM alinukuliwa akisema "Uchaguzi utakuwa huru na wa haki". Yaliyotokea kutokana na uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2019 na uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 sote tunayafahamu. Ilikuw vituko n aibu tupu.
Yapata wiki 3 zilizopita Makamu Mwenyekiti wa CCM Mh. Stephen Wassira alinukuliwa alipokuwa kwa ziara za Nyanda za Juu za Kusini akisema uchguzi wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki. Kauli kama hiyo imerudiwa na Rais Samia jana. Kauli kama hizo zinanitatiza kutokana na sababu zijazo:
1) Viongozi wa CCM wanapata wapi mamlaka ya kutoa kauli kama hizo wakati chombo kinachosimamia uchaguzi si CCM bali Tume Huru ya Uchaguzi?
2) Je inawezekana kwamba CCM inaamini kuwa kwa kuwa ndio chama tawala kwa hiyo kina mamlaka ya kusimamia uchaguzi mkuu?
3) Kama mwaka 2019/2020 kauli kama hizi zilitolewa lakini uchaguzi ukawa vituko, nini tutegemee mwaka huu?
4) Wakati kauli hizi zinatolewa na viongozi wa CCM mbona Tume iko kimya kabisa? Je imekasimisha mdaraka kwa CCM?
Ushauri wangu wa bure kwa CCM ni kwamba iepuke kutoa kauli kama hizo wakati chama hicho ni mshiriki ktika uchaguzi mkuu. Tume ijitokezo kwa uwazi kutoa mtamko yote yanayohusika na uchguzi na si kuiachia CCM.
Nawasilisha
Sijaona jibu hapo zaidi kutoa maelezo ambayo na wewe huyajui wala kuyaelewaMaelekezo ya Tume Huru ya Uchaguzi ni vyama vijiandae na Uchaguzi Mkuu na CCM ndicho inachokifanya.
Swali jengine?
Then case closed!Sijaona jibu hapo zaidi kutoa maelezo ambayo na wewe huyajui wala kuyaelewa
๐ ๐CCM ndio tume ya uchaguzi?
Angalia mashoga ya CCM yanavyokata viuno, wakimaliza hapo hawana hata Nauli ya kuwarudisha๐ ๐ ๐ ๐ mamamaaae