Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, wakiongozwa na katibu wa chama hicho mkoa Bi Pili Augustino wametembelea vituo vya watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu kwa kutoa sandaka ya vitu mbalimbali ikiwemo Mchele, mafuta, maji, juisi, unga wa ngano, mbuzi na vingine vingi kwa lengo la sheherekea Sikukuu ya Eid Al fitr na Pasaka.