Viongozi wa CHADEMA jitokezeni hadharani mseme Mbowe alipo ana muda mrefu haonekani

Kikwava

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
1,741
Reaction score
1,068
Toka muda wake wa kukaa madarakani Kama mwenyekiti wa chadema Taifa uishe Mh. Mbowe haonekani popote nchini, huku watu wakisubiri uchaguzi wa Mwenyekiti Mpya utangazwe inje ya Mbowe.

Mbowe na chadema wanatumia ruzuku ambazo Ni Kodi zetu kwahiyo tuna haki yakujua ameenda wapi na Kodi zetu.

Viongozi wa chadema jitokezeni mtoe taarifa ya alipo Mbowe
 
Mbowe na chadema

Kiongozi wetu yupo Freeman Mbowe yupo sehemu salama kutokana na intelejensia ya chama pia watu wenye nia safi wachache waliopo katika mamlakani kupenyeza tahadhari zichukuliwe.

Tunajua kelele hizi siyo upendo kutoka kwenu bali ni ile hamu ya mtu aliyekwisha kula nyama ya binadamu anakuwa kama zimwi linalopiga mkia ardhini likihaha wanataka kudhuru tena.
 
Jibuni hoja yupo wapi na Kodi zetu? Acheni kuandika na essay
 
Kiongozi wetu yupo Freeman Mbowe yupo sehemu salama kutokana na intelejensia ya chama pia watu wenye nia safi wachache waliopo katika mamlakani kupenyeza tahadhari zichukuliwe.

Tunajua kelele hizi siyo upendo kutoka kwenu bali ni ile hamu ya mtu aliyekwisha kula nyama ya binadamu anakuwa kama zimwi linalopiga mkia ardhini likihaha wanataka kudhuru tena.
Basi aitishe chaguzi maana muda wake umekwisha
 
Kwani analipwa kwa kodi zetu? Zifafanue
Toka muda wake wa kukaa madarakani Kama mwenyekiti wa chadema Taifa uishe Mh. Mbowe haonekani popote nchini, huku watu wakisubiri uchaguzi wa Mwenyekiti Mpya utangazwe inje ya Mbowe.

Mbowe na chadema wanatumia ruzuku ambazo Ni Kodi zetu kwahiyo tuna haki yakujua ameenda wapi na Kodi zetu.

Viongozi wa chadema jitokezeni mtoe taarifa ya alipo Mbowe
 
Toka muda wake wa kukaa madarakani Kama mwenyekiti wa chadema Taifa uishe Mh. Mbowe haonekani popote nchini, huku watu wakisubiri uchaguzi wa Mwenyekiti Mpya utangazwe inje ya Mbowe.

Mbowe na chadema wanatumia ruzuku ambazo Ni Kodi zetu kwahiyo tuna haki yakujua ameenda wapi na Kodi zetu.

Viongozi wa chadema jitokezeni mtoe taarifa ya alipo Mbowe
Mzee Mbowe alibadilisha katiba ya CDM kwa ajili ya kuwa mwenyekiti wa KUDUMU,nilishasema bila kwenda mahakamani ili atolewe kwa nguvu ya mahakama hakuna namna ya yeye kuachia uwenyekiti.
 
Umuone sokoni kwani yeye ni afisa masoko?
Umuone barabarani kwani yeye trafiki?
Umuone kanisani kwani yeye mchunga kondoo?
Aya majibu tulishawahi kupewa kipindi fulani.
 
Hzo ruzuku anakula huku amejifungia
 
dhambi ni mbaya sana, ukisaliti unachokiamini hufuata aibu tu...fisadi ameunga juhudi za rushwa huwezi kuwa na ujasiri tena
 
Yale maandamano ya chadema na kifo cha mzee kibao miezi 6 imepita kweli au una maanisha wiki sita
 
Mbowe sio mpinzani
Kama hamtaki basi!!
ana chawa wake kazi yao kutukana Lissu ila hao chawa ukiwambia waite mkutano wa hadhara wa watu 10 tu hawataweza unakuaje mkiti wa mkoa na huwezi kuita watu kumi wakakusikiliza CCM itatawala sana kwa majitu ya hovyp yanayodanganya ni mapinzani kumbe njaa tu
 
Back
Top Bottom