Mbowe na chadema
Jibuni hoja yupo wapi na Kodi zetu? Acheni kuandika na essayKiongozi wetu yupo Freeman Mbowe yupo sehemu salama kutokana na intelejensia ya chama pia watu wenye nia safi wachache waliopo katika mamlakani kupenyeza tahadhari zichukuliwe.
Tunajua kelele hizi siyo upendo kutoka kwenu bali ni ile hamu ya mtu aliyekwisha kula nyama ya binadamu anakuwa kama zimwi linalopiga mkia ardhini likihaha wanataka kudhuru tena.
Basi aitishe chaguzi maana muda wake umekwishaKiongozi wetu yupo Freeman Mbowe yupo sehemu salama kutokana na intelejensia ya chama pia watu wenye nia safi wachache waliopo katika mamlakani kupenyeza tahadhari zichukuliwe.
Tunajua kelele hizi siyo upendo kutoka kwenu bali ni ile hamu ya mtu aliyekwisha kula nyama ya binadamu anakuwa kama zimwi linalopiga mkia ardhini likihaha wanataka kudhuru tena.
Toka muda wake wa kukaa madarakani Kama mwenyekiti wa chadema Taifa uishe Mh. Mbowe haonekani popote nchini, huku watu wakisubiri uchaguzi wa Mwenyekiti Mpya utangazwe inje ya Mbowe.
Mbowe na chadema wanatumia ruzuku ambazo Ni Kodi zetu kwahiyo tuna haki yakujua ameenda wapi na Kodi zetu.
Viongozi wa chadema jitokezeni mtoe taarifa ya alipo Mbowe
CDM Walipogomea ruzuku yako kwa zaidi ya miaka 4 ulijua chama kinajiongozaje?Mbowe na chadema wanatumia ruzuku ambazo Ni Kodi zetu kwahiyo tuna haki yakujua ameenda wapi na Kodi zetu.
Mzee Mbowe alibadilisha katiba ya CDM kwa ajili ya kuwa mwenyekiti wa KUDUMU,nilishasema bila kwenda mahakamani ili atolewe kwa nguvu ya mahakama hakuna namna ya yeye kuachia uwenyekiti.Toka muda wake wa kukaa madarakani Kama mwenyekiti wa chadema Taifa uishe Mh. Mbowe haonekani popote nchini, huku watu wakisubiri uchaguzi wa Mwenyekiti Mpya utangazwe inje ya Mbowe.
Mbowe na chadema wanatumia ruzuku ambazo Ni Kodi zetu kwahiyo tuna haki yakujua ameenda wapi na Kodi zetu.
Viongozi wa chadema jitokezeni mtoe taarifa ya alipo Mbowe
Kwa hiyo aliye kamatwa siku ya maandamano alikuwa ni pu**bu zenu mpaka mseme hamjamona miezi sita?Jibuni hoja yupo wapi na Kodi zetu? Acheni kuandika na essay
Amefichwa na mama yako wanatumbua ruzuku pamoja na wewe pia ni mnufaika kwani anazopewa mama yako na wewe unaambulia.Sawa Sasa semeni yupo wapi na Kodi zetu