USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda
My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo
USSR
Watanzania hawataki Ndege wanataka Maji; Naona viongozi wangu wakuu wakiwa ndani ya Maji kuelekea Mwanza. #chumaJPM.
My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo
USSR
Watanzania hawataki Ndege wanataka Maji; Naona viongozi wangu wakuu wakiwa ndani ya Maji kuelekea Mwanza. #chumaJPM.
kitendo cha Viongozi wa Chadema wakiwemo Mbowe, Heche, Lema kukodi Ndege binafsi kuwapeleka kuhudhuria Sherehe ya maadhimisho ya uhuru Tanganyika, ni matumizi Mabaya ya fedha za ruzuku.
Katika wakati ambao MBOWE amekuwa akituhumiwa kutumia vibaya fedha za Chama kwa maslahi binafsi ilitarajiwa kamati kuu ingekuwa mstari wa Mbele kukemea na kumfunga kidhibiti Mwendo mwenyekiti huyo ili kulinda fedha za Chama, kinyume chake ina bariki vitendo hivyo.
Hivi ni kweli viongozi hao walishindwa kutumia mabasi au Ndege za kawaida na kuokoa fedha ambazo zingesaidia kugharamia shughuli zingine za Chama.
Shime wanachama na wafuasi wa Chadema michango, ruzuku na misaada ya Chadema itaendelea kunufaisha maisha binafsi ya watu.
Waswahili wanamsemo kuiga jambo zuri si vibaya, Chadema wajifunze kwa Mhe Rais Magufuli kubana matumizi na fedha zinazookolewa zitumike kwenye mambo mengine ya muhimu.