Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku

Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku

Themagufulianz,

..kuendesha shirika la ndege ni biashara ya HASARA na pasua kichwa.

..Kwa hiyo usitegemee kwamba shirika la ndege litatujengea uwezo wa kutoa huduma ya maji kwa wananchi.

..zaidi Tz tunasema tuko kwenye vita ya uchumi dhidi ya mabeberu, sasa kwanini tunawekeza matrilioni ya fedha zetu ktk viwanda vya mabeberu vya kutengeneza ndege?

..Kwanini hatuwekezi fedha zilizotokana na jasho la wakulima na wafanyakazi wa Tz ktk miradi ya kilimo, ufugaji, au uvuvi? Hiyo ni miradi ambayo ingeweza kuajiri watu wengi zaidi kuliko shirika la ndege, na inatumia malighafi na nguvu kazi ya waTz.
 
Themagufulianz,
Ndege hazikuwa kipaumbele ndio na maana zimebuma kwa sababu zimenunuliwa kiholela na kwasababu nchi hii inadaiwa sana hizo ndege ndio zinakuwa target ndege project imefeli ndio maana mnajaribu kuwadanganya wananchi kwa nguvu kubwa sana wakati ukweli uko wazi.
 
Mkuu akili yako unaitumia kufanyia nini...mbona kila wakati unatumia moyo kutafakari na kufikiri!
Mungu ni fundi Sana mkuu kuna watu kawapa akili yakutosha kuoga na kuvaa nguo na inayotosha kuvuka barabara bila kugongwa basi.
 
Paragraph 9 kwa ajili ya kumtetea DJ

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi wala sio chadema naona tu hali halisi nimtetee mbowe ili iweje

CCM na alie leta uzi hamjuielewi na ndio ninatumia matatizo ya wananchi kuwa mtaji wa kisiasa tu wala hayatatui

Mnaenda kununua denge ambayo haina faida yoyote mpate sifa za kisiasa tu nakufanya propaganda zenu



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Tz imewahi kuwa na uhaba wa ndege, kwamba wasingepanda hiyo wasingeenda Mwanza?, lumumba sijui mmelogwa na nani!, ndio maana mmeiua fastjet makusudi ili ndege zenu zipate wateja, Mbowe kawaambia ukweli, peleka maji vijijini, watu wanakunywa matope halafu mnawaambia watembee vifua mbele, eti mmenunua bombardier!. hivi nyie mna akili au hayo matope wanayokunywa watz huko vijijini..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom