Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndiye uliyebebaga bunduki na kummiminia RISASI Mh Lissu nn? Dhambi hiyo haitafutwa kwa kejeli humu JF. Anae ua kwa upanga asifikiri atajiua kwa kubuya sumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dongo la maana.Jamaa kawapiga nyundo ya utosi kama kitimoto malialia tu
State agent
Mungu ni fundi Sana mkuu kuna watu kawapa akili yakutosha kuoga na kuvaa nguo na inayotosha kuvuka barabara bila kugongwa basi.Mkuu akili yako unaitumia kufanyia nini...mbona kila wakati unatumia moyo kutafakari na kufikiri!
Mimi wala sio chadema naona tu hali halisi nimtetee mbowe ili iweje
Hivi una akili timamu kweli?Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda
My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo
USSR
View attachment 1288540
Jamaa kawapiga nyundo ya utosi kama kitimoto malialia tu
State agent
Kweli wewe ni zaidi ya mjinga! Aliyekuambia ni lazima kwa serikali kuwa na ndege ili kupata huduma za usafiri wa anga kwa wananchi, ni nani mjinga huyo?Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda
My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo
USSR
View attachment 1288540
Walitumwa na wananchi kukataa ndege na kudai maji.Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda
My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo
USSR
View attachment 1288540
Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda
My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo
USSR
View attachment 1288540