Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda

My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo

USSR

Watanzania hawataki Ndege wanataka Maji; Naona viongozi wangu wakuu wakiwa ndani ya Maji kuelekea Mwanza. #chumaJPM.





 
Ni Wabinafsi sana hao jamaa, wanajiinjoy kwenye ndege zetu halafu wanaponda na kushangilia huku wakishirikiana na Muzungu kusabotage nchi yetu, ndege zetu zinashikwa wanashangilia tena wanampa Muzungu infos, Tundu Lisu ataishi maisha magumu sana kwa usaliti alioifanyia nchi yetu.
 
Hoja yako dhaifu. Ndege sio lazima zinunuliwe na serikali. Ila maji ni lazima yaletwe na serikali
sio lazima ziko sehemu kama kigamboni na temeke watu binafsi wana supply maji for years
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…