Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku

Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku

ndege yenyewe hata hadhi haina, kukuu kweli utadhani yakumwagilia viwatilifu mashambani
 
ndege yenyewe hata hadhi haina, kukuu kweli utadhani yakumwagilia viwatilifu mashambani
 
Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda

My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo

USSR
View attachment 1289825
Watanzania hawataki Ndege wanataka Maji; Naona viongozi wangu wakuu wakiwa ndani ya Maji kuelekea Mwanza. #chumaJPM.
Jiwe,2019 mwanza amesema;Biashara ya manunuzi ya wabunge na madiwani imetuingizia shilingi bilion moja bahati mbaya amesahau kusema gharama za uwekezaji i mean gharama za manunuzi. Jiwe bwana hana siri kabisa
 
Ni Wabinafsi sana hao jamaa, wanajiinjoy kwenye ndege zetu halafu wanaponda na kushangilia huku wakishirikiana na Muzungu kusabotage nchi yetu, ndege zetu zinashikwa wanashangilia tena wanampa Muzungu infos, Tundu Lisu ataishi maisha magumu sana kwa usaliti alioifanyia nchi yetu.
TATIZO LA KUWA NA TRIP NYINGI ZA MOMBASA NA AKATI HUNA BIASHARA INAYOELEWEKA UKIACHANA NA HIYO UNAYOWAUZIA MOMBASA
 
Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda

My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo

USSR
View attachment 1289825
Watanzania hawataki Ndege wanataka Maji; Naona viongozi wangu wakuu wakiwa ndani ya Maji kuelekea Mwanza. #chumaJPM.

Punguani at work.
Hao wa ccm wametumia kiasi gani kuhudhuria na source ya hizo pesa ni wapi.
Unaweza kutueleza pesa walizogawana 5m kila mbunge wa ccm kule dodoma zilitoka wapi?

CAG assad ndo maana kaondolewa kwa sababu mipanya buku ingeumbuka.
Just wait 2025 tuone kina Dotto watakimbilia wapi, ni wakunyonga na kizazi chao chote hadi chato itangazwe kiama.
 
Ila kununua wapinzani na kurudia uchaguzi ndio matumizi mazuri ya kodi zetu..??
 
Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda

My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo

USSR
View attachment 1289825
Watanzania hawataki Ndege wanataka Maji; Naona viongozi wangu wakuu wakiwa ndani ya Maji kuelekea Mwanza. #chumaJPM.
Kama ulidanganyika kwamba wapinzani wanamatumizi mazuri ya pesa ya umma au kwamba wao hawana elementi za ufisadi, basi umepotea Sana ndugu yangu,
Wanasiasa wote ni wabinsfsi, majizi, wanawasema CCM waliopo madarakani kwasababu ulaji hauwafikii, wape nchi uone cha mtema kuni, watakula kuriko ccm,
We jiulize, kwanini wabunge wa mwanza na Mbowe, wasinge wawakilisha wenzo huko Mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Wabinafsi sana hao jamaa, wanajiinjoy kwenye ndege zetu halafu wanaponda na kushangilia huku wakishirikiana na Muzungu kusabotage nchi yetu, ndege zetu zinashikwa wanashangilia tena wanampa Muzungu infos, Tundu Lisu ataishi maisha magumu sana kwa usaliti alioifanyia nchi yetu.
Kwa upuuzi wako mtu akikataa kijiji kisinunue basi badala yake wachimbe visima vya maji tafsiri yake hataki kusafiri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom