Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku

Matapeli wa kisiasa wanatumia wananchi wanyonge kujinufaisha ao na familia zao, tumewashitukia.
 
Kwa kuwa kuna ndege za private serkal isimiliki ndege zake ,acha ujinga

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha huyo jpm anawadanganya wajinga. Pesa za taifa hili siyo mali yake, serikali haitimizi wajibu wake badala yake inafanya siasa.
Anyway ujinga ni nwele na kila mtu anazake.
Tunaakili kuliko ukoo wenu tumesoma tukaelimika, tunatofautisha yeye na wengine hasa waliopita

Miradi inaonekana sio ishu ya yeye kusema

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taabu sana kucheza na Akili za watu. Wajinga ndiyo Chakula Cha werevu... Aliyeianzisha hii hoja kwa picha, atakuwa na upungufu wa uwezo wa kuchanganua Mambo. Maana usomi siku hizi kila mtu anaweza kuhitimu vyuoni.


Hoja sio kwa nini? amepanda hoja ni kwa nini? Walipanga kupinga ununuaji wa ndege wakati wanajua unamuhimu kama huo wa kufika mwanza haraka

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujenga nchi .fuatilia kazi za jpm

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeisahau na hii ya kuwarudisha wajumbe wa nec bure kwa ndege iliyoachiwa mateka! Nayo ni ujenzi wa nchi siyo? Afadhali cdm walikodi na kulipa Kodi ya serikali, ninyi ccm mnapanda bure Kama ya baba yenu! Aibu hii mtaifichaje na mnaambia nini umma wa walipakodi?
 
Shamba la mzee safi na mahindi na mbuzi vyote vya mzee safi kama mbuzi wa mzee safi kala mahindi ya mzee safi hasara hakuna

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…