Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku

Viongozi wa CHADEMA kukodi Ndege binafsi kuhudhuria Sherehe za uhuru wa Tanganyika ni matumizi mabaya ya fedha za ruzuku

Ni Wabinafsi sana hao jamaa, wanajiinjoy kwenye ndege zetu halafu wanaponda na kushangilia huku wakishirikiana na Muzungu kusabotage nchi yetu, ndege zetu zinashikwa wanashangilia tena wanampa Muzungu infos, Tundu Lisu ataishi maisha magumu sana kwa usaliti alioifanyia nchi yetu.
Kwa binadamu wa kawaida TL anahitaji huruma na msaada. Sielewi muathirika wa unyama na ukatili anawezaje kulaumiwa badala ya makatili na wanyama waliomtenda?
 
Umekuwa mjinga usiye na lolote zaidi ya matusi ,ndege inakuhusu nini wewe kajamba nani usiye na lolote

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Una hakika na hayo au unafurahisha genge? Binti, jf siyo level yako! Wahi fb kuusaka wachumba wakuoe kabla ya Nov. 2020 au utabaki Tena ukichezewa na wanacdm baada ya kuchukua dola maana unavyopenda vya bure utahamia tu najua! Kwa taarifa yako huwa sipandi ndege za mapangaboi siku hizi na sipandishwi Kama mizoga ya nec! Mizoga classic ninyi!
 
Jamaa amekushika korodan unalialia tu na hoja za kitoto ,kamnasihi mkeo humu ni CCM mbele kwa mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wewe nawe unajua kuwa ninazo korodani kubwa kuliko za beberu umeamua kumsapoti mwanamke mwenzako? Karibuni muendelee kuzushikashika maana za mkulima zimewashinda Hadi kurudisha pesa zake! Ni umama kulalamikia walipakodi kwa fedha zao huku ninyi mkipandishwa bure mithili ya mizoga Tena Bora mizoga imelipiwa na wafiwa! Mnakwama wapi kulinganisha na kutofautiana vitu ninyi watetezi wa wanyonge wa Kanda pendwa?
 
Mwanaume kujisifia korodani kubwa kuliko kichwa chake. Huku kichwa kikijaa kamasi hovyo sana

State agent

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume kujisifia korodani kubwa kuliko kichwa chake. Huku kichwa kikijaa kamasi hovyo sana

State agent

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefurahi Sana usiku huu kwa jinsi ulivyotambua kuwa unajibizana na mwanaume! Nikupongeze kwa kutambua kuwa unasoma yanayoandikwa na mwanaume na kwa utamaduni wa dunia, mwanaume ni kichwa na haijalishi kina PhD 4 za mwakyembe au za Prof aliyeokotwa jalalani! Endelea kunipa heshima hii hadi nitakapoaga hapa jf hivi karibuni!
 
Kwani kuwa mwanaume nini kipya mkuu ,humu wanaume in wengi ila mapopoma ya ufipa kama wewe ni mengi

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda

My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo

USSR
View attachment 1289825
Watanzania hawataki Ndege wanataka Maji; Naona viongozi wangu wakuu wakiwa ndani ya Maji kuelekea Mwanza. #chumaJPM.
Inakuhusuu nini
Wee usifate mamboo yakoo
Ndioo maana watz wengi mkoo poot kwenye makaziii
Fanya yako
Bana tumechoshwa na hizi dramA
 
Kukodi ndege ndani ya nchi sio pesa nyingi sana..Sugu anaweza kuikodisha bila hata ya ruzuku
 
Back
Top Bottom