Wakuu sasa ninawapa habari ya uhakika kuhusu mikutano mikubwa ya CHADEMA inahusiana na rasimu ya katiba mpya na mchakato wake kiujumla itakayokuwa ikihutubiwa na viongozi wa kitaifa wakiongozwa na mwenyekiti wa CDM mh, Mbowe, Mnyika na pia walipaswa wawepo Tundu Lissu na profesa Safari bt sina uhakika kama watakuwepo coz nimeambiwa na chanzo changu kwamba wameitwa makao makuu kuna issue wanaenda kushughulikia bt kama kawaida yake pia nimeambiwa mh Zitto Kabwe hatokuwepo kwenye mikutano ya wilaya za Kakonko,Kibondo na Kasulu japo kimsingi alipaswa awepo kuwapoka wageni wake,
ratiba ipo hivi,jumapili ya kesho kuanzia majira ya saa 3 asubuhi watakuwa Kakonko mjini,then mida ya mchana kuanzia saa 7 watakuwa wanatoa elimu ya uraia wilayani kibondo.
kwa mujibu wa ratiba tarehe 19 watakuwa Kasulu na 20 kigoma mjini,mpaka sasa kiongfozi huyo wa wilaya ameniambia mambo yote ya muhimu yamekamilika,bt nitoe wito kwa Mbowe afanye kikao cha ndani na uongozi na wanachama kwani uongozi wa wilaya na jimbo ni mbovu na unaua chama na harakati zake,akatatue mambo, mtakumbuka niliwahi leta uzi hapa jukwaani kulalamikia uongozi wa taifa kuutenga mkoa wa kigoma bt naona majibu yameanza kutolewa kwa vitendo japo kiongozi mmoja wa makao aliniambia wanashindwa kuja kufanya harakati mkoani Kigoma kutokana na mapokezi hafifu na mabovu ya mwenyeji wao Zitto,.
kwa leo ni hayo tu,kuanzia kesho nitawaletea uptudates za kila kitu kitakachokuwa kinajili,
people'sssssssssssssssssssssssssssssssssss

- 🙂