Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,366
- 5,209
Una maana polisi kwa bahati mbaya mama hajagundua.Polisi wamedhamiria kumhujumu Rais Samia wazi wazi kabisa.
Hata Moto wa nyika hauanzi Kama wa petrolBado pana udhaifu mkubwa ndani ya CHADEMA.
Matukio kama haya wakati huu yangekuwa yameenea sehemu zote nchini na siyo Mwanza pekee yake!
Yeye ndie anaewatuma. Hilo liko wazi.Polisi wamedhamiria kumhujumu Rais Samia wazi wazi kabisa.
Hii uliyoweka hapa ni "msemo" tu, ambao kwa bahati mbaya hausaidii kuimarisha walichokianzisha CHADEMA! Sana sana ni kufifisha hata hicho kidogo wanachokifanya bila ya mpangilio madhubuti.Hata Moto wa nyika hauanzi Kama wa petrol
Mwenyewe anaamini wanamsaidia kuwakomesha ChademaUna maana polisi kwa bahati mbaya mama hajagundua.