figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam Wakuu
Viongozi wakuu wa CHADEMA wameanda zao Italy na Ujerumani baada ya kuhitimisha Ziara ya +255.
Chama kikuu cha upinzani, CHADEMA, hivi kilizindua kampeni maalumu ya kudai katiba mpya ikiwa ni takribani wiki mbili tangu Rais Samia Suluhu wa nchi hiyo kutangaza azma ya kuufufua mchakato huo. Kampeni hiyo ilipewa jina la +255
Wamezunguka Mikoani kama wiki Mbili. Hata kabla ya Ratiba kuisha, wamekatiza ziara na kwenda kula bata Italia na Ujerumani.
Freeman Mbowe akiongozana na Tundu Lissu na John Mnyika. Walionekana Wakikatiza mitaa ya Italia huko Cadenabbia.
Wakati huo huo Mbowe ataongea leo kupitia zoom online kuhusiana na TAHARUKI ya bandari kuuzwa.
MY TAKE;
Tanzania tuna safari ndefu