Gulio Blog
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,056
- 4,124
Na kina Kwame Nkurumah, Nelson Mandela, Nyerere na wengine wengi wangesema kutafuta uhuru ukipigwa Risasi ukafa je, si bora nikae kimya niendelee na shughuli zangu, Africa isinge kuwa hapa, jiongeze wewe kiumbe dhaifu acha mawazo uchwara ya kiccm ccm..Hamkuenda kuboresha taarifa zenu kwenye daftari la mpiga kura!
Mwaka huu mtafurahia show ya Magu
Rais alihamasisha vyama vyote vihamasishe wanachama wao waende CHADEMA wakapinga.Sasa vijana wengi wanajaa mikutano yao zoezi la kuboresha hawakwenda walifurika ofisi za NIDA tu kutafuta vitambulisho vya taifa!!! wengi wana vitambulisho vya Taifa tu na walifurika kwa lazima baada ya kuambiwa simu isiyosajiliwa kwa kitambulisho cha taifa itazimwaHamkuenda kuboresha taarifa zenu kwenye daftari la mpiga kura!
Mwaka huu mtafurahia show ya Magu
Hamkuenda kuboresha taarifa zenu kwenye daftari la mpiga kura!
Mwaka huu mtafurahia show ya Magu
CHADEMA MWAKA HUUU HATA MUIMBE NGONJERA GANI, HAMPATI HADA DUWANI MUMOJAA. AFADHALI MUNGEMWACHIA NYARANDUU.
Nashindwa hata cha kukujibu kwa post hii ni mtu usiojitambuaCHADEMA MWAKA HUUU HATA MUIMBE NGONJERA GANI, HAMPATI HADA DUWANI MUMOJAA. AFADHALI MUNGEMWACHIA NYARANDUU.
Sijaandika hicho unachosema wewe sababu najua waliojiandikisha ni wengiHamkuenda kuboresha taarifa zenu kwenye daftari la mpiga kura!
Mwaka huu mtafurahia show ya Magu
Ni kiongozi gani wa CHADEMA aliyebeza watu wasiende kujiandikisha? una uhakika gani watu hawaja jiandishaKuna vitu huwa nazidi kushangaa tu, kipindi cha kujiandikisha walibeza sana hilo zoezi na kusema hakuna umuhimu wa watu kujiandikisha ikiwa mshindi tayari anajulikana na mwisho kabisa wakafurahi muitikio wa watu kidogo kwenye kujiandikisha.
Sasa hivi watawezaje tena kuwahamasisha wakapige kura ikiwa hawakujiandikisha?
Mtu aliyejiandikisha 2015 anaenda katika kituo alichojiandikishia na kupiga kura. Sio lazima awe ameenda kuhakiki.Hamkuenda kuboresha taarifa zenu kwenye daftari la mpiga kura!
Mwaka huu mtafurahia show ya Magu
Bado wengi hawana kitambulisho cha uraia na wengi wana cha mpiga kura. Ugumu wa kupata kitambulisho cha uraia uliwafanya vijana watafute cha mpiga kura.Rais alihamasisha vyama vyote vihamasishe wanachama wao waende CHADEMA wakapinga.Sasa vijana wengi wanajaa mikutano yao zoezi la kuboresha hawakwenda walifurika ofisi za NIDA tu kutafuta vitambulisho vya taifa!!! wengi wana vitambulisho vya Taifa tu na walifurika kwa lazima baada ya kuambiwa simu isiyosajiliwa kwa kitambulisho cha taifa itazimwa
Wengi hawana vitambulisho vya kupiga kura.CHADEMA ilichemka sasa wanakumbuka shuka kukiwa kumekucha.Maafisa wa kuboresha taarifa walikuwa hadi wanasinzia sehemu zingine kwa kukosa watu ukiona wamefurika walikuwa wa CCM waliohamasishwa na wajumbe wa nyumba kumi wa CCM kuwa watu wangu wote nendeni mkajiandikishe
Vijana wengi wanaofurika mikutano ya Lissu hawana kitambulisho cha kupiga kura ila cha uraia hapo hapo hata uwaambie wakuonyeshe watakinyanyua juu