Pre GE2025 Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa wadaiwa kusambazwa na kushikiliwa Maeneo Tofauti

Pre GE2025 Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa wadaiwa kusambazwa na kushikiliwa Maeneo Tofauti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio mbinu ya Kishamba iliyobuniwa na Makaburu wa S.Africa enzi za ubaguzi wa Rangi, Mandela huku wengine kule

Screenshot_2024-08-12-18-12-41-1.png

Screenshot_2024-08-12-22-40-47-1.png
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali kuwaachia Viongozi wa CHADEMA
 
Kwa kinywa kipana eti unataka vijana wenzetu wawaige wakenya kutaka kuipindua serikali....gooosh

BAVICHA wakichekewa wanalitia moto taifa letu.......

#Nchi Kwanza#
 
Kwa kinywa kipana eti unataka vijana wenzetu wawaige wakenya kutaka kuipindua serikali....gooosh

BAVICHA wakichekewa wanalitia moto taifa letu.......

#Nchi Kwanza#
Kwa hili ndio mmewasha moto, kiburi ndio kimemponza Ruto
 
Back
Top Bottom