Pre GE2025 Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa wadaiwa kusambazwa na kushikiliwa Maeneo Tofauti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
.
IMG-20240813-WA0016.jpg
 
Dj lazma atakuws anajua mchongo mzima wa kinacho endelea, kunasiku mtaelewa!.
 
Hii ndio mbinu ya Kishamba iliyobuniwa na Makaburu wa S.Africa enzi za ubaguzi wa Rangi, Mandela huku wengine kule
Kazi ya Masabuni hiyo; anapigania Koloni Tanganyika lisijinasue kwenye ukoloni toka nchi ya Zanzibar.

Sina hakika kama anajua kuwa kufanya hivi ndivyo anavyo zidi kuchochea moto. Hata wajinga mwishowe wataondokana na ujinga kwa mtindo huu unaotumika kulishikilia koloni.
 
Mawazo mgando haya....
 
Tumerudishwa nyuma kwenye enzi za Police State.
 
Back
Top Bottom