Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Watakua wamejikamata na kujiweka rumande au sio kaka lukasHii ndio mbinu ya Kishamba iliyobuniwa na Makaburu wa S.Africa enzi za ubaguzi wa Rangi, Mandela huku wengine kule
View attachment 3068203
View attachment 3068204
Ni mpumbavu pekee asie wajua hao.Wasiojulikana hatimaye wajulikana!
Kyerwa wazima..?Hii ndio mbinu ya Kishamba iliyobuniwa na Makaburu wa S.Africa enzi za ubaguzi wa Rangi, Mandela huku wengine kule
View attachment 3068203
View attachment 3068204
HakikaWasiojulikana hatimaye wajulikana!
unamaanisha Kyela?Kyerwa wazima..?
Namaanisha kyerwa yako ya kagera..?hahaunamaanisha Kyela?
Kwa hili ndio mmewasha moto, kiburi ndio kimemponza RutoKwa kinywa kipana eti unataka vijana wenzetu wawaige wakenya kutaka kuipindua serikali....gooosh
BAVICHA wakichekewa wanalitia moto taifa letu.......
#Nchi Kwanza#
Mimi siyo wa hukoNamaanisha kyerwa yako ya kagera..?haha
Wewe jumbe brownCDM wakichekewa hakika watalitia moto taifa hili...
#Nchi Kwanza [emoji7]
Ya Ruto kamwe hayakanyagi ardhi hii tukufu duniani.....Kwa hili ndio mmewasha moto, kiburi ndio kimemponza Ruto
Usinichanganye na huyo zwazwa wa UVCCM.....Wewe jumbe brown
Unabisha nini kapuku wewe?Usinichanganye na huyo zwazwa wa UVCCM.....