Viongozi wa CHADEMA washiriki ibada ya kumuaga Johara Mtei, Salamu za rambirambi zaendelea kumiminika

Viongozi wa CHADEMA washiriki ibada ya kumuaga Johara Mtei, Salamu za rambirambi zaendelea kumiminika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Viongozi wa Chadema wakiongozwa na Katibu Mkuu wake Mh John Mnyika , wameshiriki ibada ya kumuaga Mke wa Muasisi wa chama hicho Mzee Edwin Mtei , ibada ambayo imefanyika katika kanisa la Azania Front , Mkoani Dar es Salaam

Leo_Agosti_22,_2021_Katibu_Mkuu_wa_Chadema_Mhe._@jjmnyika_(wa_kwanza_kulia)_ameshiriki_Ibada_y...jpg

Katibu_Mkuu_Mhe._@jjmnyika_akiwa_katika_picha_ya_pamoja_na_viongozi_na_wanachama_wa_Chadema_ba...jpg

Mungu ibariki Chadema
 
Viongozi wa Chadema wakiongozwa na Katibu Mkuu wake Mh John Mnyika , wameshiriki ibada ya kumuaga Mke wa Muasisi wa chama hicho Mzee Edwin Mtei , ibada ambayo imefanyika katika kanisa la Azania Front , Mkoani Dar es Salaam

View attachment 1903366
View attachment 1903367

Mungu ibariki Chadema
Vipi leo Polisi hawakuibuka hapo au wao contract yao ni Kanisa Katoliki tu?
 
Viongozi wa Chadema wakiongozwa na Katibu Mkuu wake Mh John Mnyika , wameshiriki ibada ya kumuaga Mke wa Muasisi wa chama hicho Mzee Edwin Mtei , ibada ambayo imefanyika katika kanisa la Azania Front , Mkoani Dar es Salaam

View attachment 1903366
View attachment 1903367

Mungu ibariki Chadema
Huko Dar na wanachama, wapenzi na mashabiki wote wa Chadema poleni sana. Polekeni application mahakama kuu ya kuomba dhamani ili Mwenyekiti wenu japo ahudhurie mazishi kwa siku yatakayo pangwa.
 
Huko Dar na wanachama, wapenzi na mashabiki wote wa Chadema poleni sana. Polekeni application mahakama kuu ya kuomba dhamani ili Mwenyekiti wenu japo ahudhurie mazishi kwa siku yatakayo pangwa.
Hatuna haja ya kufanya hivyo , Rais mpya wa Zambia Hichilema alipokuwa gerezani kwa mashitaka ya uzushi kama ya Mbowe hakuwahi kuruhusiwa kushiriki mazishi ya ndugu zake .
 
Kumbe asilimia kubwa ya viongozi wenye sauti chadema ni wakristo?
 
Kwahiyo unatakaje,inavyoonyesha unazochembechembe za ubaguzi wa kiitikadi tena zenye udini ndani yake.
Dini si njia ya kunifikisha kwa Mungu ambako ni lazima kufa lazima iwembele.

Nilitaka tu kujua hivyo ahasante nimeelewa
 
Rais mpya wa Zambia Hichilema alipokuwa gerezani kwa mashitaka ya uzushi kama ya Mbowe hakuwahi kuruhusiwa kushiriki mazishi ya ndugu zake .
Leo kapata urais, anataka wazambia wote wawe wasabato. Ndicho walichokuwa wanapigania?! Huyu jirani yake Malawi naye vituko.

Afrika tumelaaniwa.
 
Leo kapata urais, anataka wazambia wote wawe wasabato. Ndicho walichokuwa wanapigania?! Huyu jirani yake Malawi naye vituko.

Afrika tumelaaniwa.
Kuna watu wanadhani wapinzani wakishinda ndiyo matatizo yao yataisha, kumbe wapinzani wa Afrika nao ni wasaka tonge tu
 
Kamanda wa polisi eneo husika kapoteza fursa kujitafutia Kiki, sio kawaida kwa polisi kuonyesha weledi Hongera zake kujitambua.
 
Back
Top Bottom