Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Vipi leo Polisi hawakuibuka hapo au wao contract yao ni Kanisa Katoliki tu?Viongozi wa Chadema wakiongozwa na Katibu Mkuu wake Mh John Mnyika , wameshiriki ibada ya kumuaga Mke wa Muasisi wa chama hicho Mzee Edwin Mtei , ibada ambayo imefanyika katika kanisa la Azania Front , Mkoani Dar es Salaam
View attachment 1903366
View attachment 1903367
Mungu ibariki Chadema
Bora wewe umesoma kitu cha hovyo,vipi wanaofanya vitu cya hovyo?Umeandika kitu cha hovyo mno toka nimeijua JF nasikitika kusoma kitu cha hovyo hivi
Huko Dar na wanachama, wapenzi na mashabiki wote wa Chadema poleni sana. Polekeni application mahakama kuu ya kuomba dhamani ili Mwenyekiti wenu japo ahudhurie mazishi kwa siku yatakayo pangwa.Viongozi wa Chadema wakiongozwa na Katibu Mkuu wake Mh John Mnyika , wameshiriki ibada ya kumuaga Mke wa Muasisi wa chama hicho Mzee Edwin Mtei , ibada ambayo imefanyika katika kanisa la Azania Front , Mkoani Dar es Salaam
View attachment 1903366
View attachment 1903367
Mungu ibariki Chadema
Joined April 19 , 2021Umeandika kitu cha hovyo mno toka nimeijua JF nasikitika kusoma kitu cha hovyo hivi
Hatuna haja ya kufanya hivyo , Rais mpya wa Zambia Hichilema alipokuwa gerezani kwa mashitaka ya uzushi kama ya Mbowe hakuwahi kuruhusiwa kushiriki mazishi ya ndugu zake .Huko Dar na wanachama, wapenzi na mashabiki wote wa Chadema poleni sana. Polekeni application mahakama kuu ya kuomba dhamani ili Mwenyekiti wenu japo ahudhurie mazishi kwa siku yatakayo pangwa.
Kwahiyo unatakaje,inavyoonyesha unazochembechembe za ubaguzi wa kiitikadi tena zenye udini ndani yake.Kumbe asilimia kubwa ya viongozi wenye sauti chadema ni wakristo?
Heri umasikini wa pesa kuliko umasikini wa akiliKumbe asilimia kubwa ya viongozi wenye sauti chadema ni wakristo?
Dini si njia ya kunifikisha kwa Mungu ambako ni lazima kufa lazima iwembele.Kwahiyo unatakaje,inavyoonyesha unazochembechembe za ubaguzi wa kiitikadi tena zenye udini ndani yake.
Mungu ibariki CHADEMAViongozi wa Chadema wakiongozwa na Katibu Mkuu wake Mh John Mnyika , wameshiriki ibada ya kumuaga Mke wa Muasisi wa chama hicho Mzee Edwin Mtei , ibada ambayo imefanyika katika kanisa la Azania Front , Mkoani Dar es Salaam
View attachment 1903366
View attachment 1903367
Mungu ibariki Chadema
Asante kwa jibu tajiri wa akiliHeri umasikini wa pesa kuliko umasikini wa akili
Umetumwa kuisoma!? Hizi ndiyo akili ndogo tunazosemaUmeandika kitu cha hovyo mno toka nimeijua JF nasikitika kusoma kitu cha hovyo hivi
Leo kapata urais, anataka wazambia wote wawe wasabato. Ndicho walichokuwa wanapigania?! Huyu jirani yake Malawi naye vituko.Rais mpya wa Zambia Hichilema alipokuwa gerezani kwa mashitaka ya uzushi kama ya Mbowe hakuwahi kuruhusiwa kushiriki mazishi ya ndugu zake .
Kuna watu wanadhani wapinzani wakishinda ndiyo matatizo yao yataisha, kumbe wapinzani wa Afrika nao ni wasaka tonge tuLeo kapata urais, anataka wazambia wote wawe wasabato. Ndicho walichokuwa wanapigania?! Huyu jirani yake Malawi naye vituko.
Afrika tumelaaniwa.
uongo utakusaidia nini ?Leo kapata urais, anataka wazambia wote wawe wasabato. Ndicho walichokuwa wanapigania?! Huyu jirani yake Malawi naye vituko.
Afrika tumelaaniwa.
Unaishi dunia ipi wewe!uongo utakusaidia nini ?
Umeandika kitu cha hovyo mno toka nimeijua JF nasikitika kusoma kitu cha hovyo hivi