Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa hii imesambazwa na Wizara ya michezo , na kwamba wamesimamishwa kupisha uchunguzi.
Bado haijajulikana Wanachunguzwa kuhusu nini.
Bali uongozi huu kwa kadiri ninavyofahamu ndio Uongozi wa ngumi za kulipwa unaongoza kwa kuwabeba mabondia wazalendo bila aibu yoyote, hata wanapopigwa hupewa sare ama hupewa Ushindi wa Magumashi.
Hongera sana kwa Wizara kwa uamuzi huu