Uchaguzi 2020 Viongozi wa chama okoeni CHADEMA Geita Mjini, kura za maoni zinakipasua

Janjawid

Member
Joined
Jul 15, 2020
Posts
93
Reaction score
185
Yawezekana jambo hilo likaonekana ni la kawaida lakini CHADEMA jimbo la Geita kuna fukuto kubwa sana kwani kura za maoni zinakipasua chama, mwisho wake ni mbaya, viongozi tazameni hilo kwa ukaribu.
 
Peneza anabebwa na makao makuu ilhali wanachama wa jimbo hawampendi na hawamtaki
 
Peneza anabebwa na makao makuu ilhali wanachama wa jimbo hawampendi na hawamtaki
Rushwa yakusafirisha wajumbe wa kata za vijijini,kuwalipia malazi,kuwapa posho Nakujitengene zeaa mazingira ya kupata kura ,kuna wajumbe walitaka kupigana ngumi kisa posho hasa kata za pembezoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…