Viongozi wa dini fanyeni maombi ya kitaifa kuondoa hali mbaya ya mauaji iliyokithiri nchini

Viongozi wa dini fanyeni maombi ya kitaifa kuondoa hali mbaya ya mauaji iliyokithiri nchini

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Kwa hali iliyopo sasa ya kuamka na kusikia vitendo vya mauaji kila mahali

Kama Taifa ipo haja ya viongozi wa dini kufanya maombi ya kitaifa ili kulinusuru na hali hii mbaya.

Vile vile ipo haja ya wazazi katika level za kifamilia kuboresha makuzi ya watoto wao katika misingi ya Tabia sahihi

Na majumba ya ibada kutoa mahubiri/ mawaidha yanayolenga kuifanya jamii kuwa bora zaidi.

Kiujumla hali mbaya ya uchumi ikichangiwa pia na mmomonyoko mkubwa wa maadili katika jamii zetu ndio umeleta yote haya.

Ni muda tukaanza kubadili aina ya malezi tunayowapa watoto.
 
Back
Top Bottom