LGE2024 Viongozi wa dini Iringa wataka ustaarabu wakati wa kampeni

LGE2024 Viongozi wa dini Iringa wataka ustaarabu wakati wa kampeni

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Viongozi Dini Mkoani Iringa wametoa wito kwa Vyama vya Siasa, wagombea na wananchi kuwa wastaarabu wakati wa Kampeni na baada ya Uchaguzi iku kulinda na kudumisha amani iliyopo nchini.

Pia, Soma:

Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

TAKUKURU Iringa kuanzisha uchunguzi kuhusu wagombea wa serikali za mitaa kujitoa baada ya rushwa

Mkuu wa Wilaya Iringa: Mawakala wa Vyama vya Siasa wameridhika na zoezi la uandikishaji wapiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
 
Back
Top Bottom