Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Nov 17, 2024 #1 Viongozi Dini Mkoani Iringa wametoa wito kwa Vyama vya Siasa, wagombea na wananchi kuwa wastaarabu wakati wa Kampeni na baada ya Uchaguzi iku kulinda na kudumisha amani iliyopo nchini. Your browser is not able to display this video. Pia, Soma: • Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa • TAKUKURU Iringa kuanzisha uchunguzi kuhusu wagombea wa serikali za mitaa kujitoa baada ya rushwa • Mkuu wa Wilaya Iringa: Mawakala wa Vyama vya Siasa wameridhika na zoezi la uandikishaji wapiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Viongozi Dini Mkoani Iringa wametoa wito kwa Vyama vya Siasa, wagombea na wananchi kuwa wastaarabu wakati wa Kampeni na baada ya Uchaguzi iku kulinda na kudumisha amani iliyopo nchini. Your browser is not able to display this video. Pia, Soma: • Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa • TAKUKURU Iringa kuanzisha uchunguzi kuhusu wagombea wa serikali za mitaa kujitoa baada ya rushwa • Mkuu wa Wilaya Iringa: Mawakala wa Vyama vya Siasa wameridhika na zoezi la uandikishaji wapiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
A Akasankara JF-Expert Member Joined Feb 28, 2015 Posts 4,210 Reaction score 5,752 Nov 17, 2024 #2 La kuengua wagombea wa upinzani lenyewe halisemwi?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Nov 17, 2024 #3 Hawa nao wamekosa kazi uchaguzi uko wapi?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Nov 17, 2024 #4 Akasankara said: La kuengua wagombea wa upinzani lenyewe halisemwi? Click to expand... Watakuwa wamelipwa posho hapo kama ya laki 2 kila mtu, haya ni matapeli tupu
Akasankara said: La kuengua wagombea wa upinzani lenyewe halisemwi? Click to expand... Watakuwa wamelipwa posho hapo kama ya laki 2 kila mtu, haya ni matapeli tupu