Viongozi wa dini: Je, rushwa imewapofusha au ni uwezo mdogo wa kutambua mambo?

Viongozi wa dini: Je, rushwa imewapofusha au ni uwezo mdogo wa kutambua mambo?

anthem

New Member
Joined
Mar 17, 2025
Posts
3
Reaction score
0
Nawasalimu nyote hapa JF.

Niende Moja kwa Moja kwenye mada tajwa hapo juu hasa inayowahusu baadhi ya viongozi wetu wa dini waliokaririwa na vyombo vya habari wakiwaonya waumini wao kuhusu ajenda inayozungumzwa katika mikutano ya CHADEMA kuhusu no reforms no election/bila mabadiliko hakuna uchaguzi.

Mfano wa hao viongozi ni mufti mkuu wa Tanzania ambaye amesema kuna kuwa kuna mtu/watu wanasema Bora kinuke au wananchi wakinukishe kama hakuna reforms zitazofanyika.

Je, ni kwamba viongozi wetu Hawa wa dini hawajui kuwa Sheria yetu ya uchaguzi ni ya kidhalimu au wamepofuka macho kwa vile wamekuwa wanapewa rushwa na serikali?
 
Back
Top Bottom