Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Wana CCM nawaomba sana na kuwasihi Viongozi wa Dola wazalendo nawaomba na kuwasihi sana .
Suala hili naombeni lisichukuliwe ni jambo la kawaida, la kupuuzwa kama ambavyo VIFO vya Akina KIBAO vimepuuzwa !!.
Niwaombe sana Wazalendo wote Kwa pamoja KEMEENI hili mara Moja, Kemeeni hili Moja, Kemeeni hili Moja, Taifa limeingiliwa, Taifa linaangamizwa na maadui wa Ndani.
NI NANI ALIYE NYUMA YA JARABIO LA MAUAJI YA HALAIKI KUPITIA SILAHA ZA KIKEMIKALI? Ni Nani huyu anayetaka kuua Watanzania?
Sasa liwe ni Shambulio lilolenga Kutisha, liwe ni Shambulio lilolenga Kuua , kitendo Cha kutumia Silaha za Kikemikali katika Halaiki ya Watu, ni UNYAMA UTAKAOLETA MACHAFUKO TANZANIA
Soma pia Pre GE2025 - Wasiojulikana wavamia Ofisi za CHADEMA Kanda ya Nyasa na kumwaga sumu eneo lote kwa lengo la kuwaua Viongozi na Wanachama