Wimbo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 866
- 625
Vitendo vya watoto kulawitiwa kubakwa, kutoa mimba ndoa za jinsia moja mpaka kufikia wazazi kuwalazimisha wana wao kushiriki nao ngono vitendo vinavyoonyesha dhahiri nyakati za sodoma watumidhi Wa Mungu mko wapi ?
Tuambieni huuu ndio mwisho uliotajwa tujiandae au?
Hii ni agenda muhimu ambayo nilitegemea msilale usingizi kwa maana kinachofuata ni hatari.
Tuambieni huuu ndio mwisho uliotajwa tujiandae au?
Hii ni agenda muhimu ambayo nilitegemea msilale usingizi kwa maana kinachofuata ni hatari.