GE2025 Viongozi wa Dini na Kamati ya Amani Kufanya Matembezi ya Amani Septemba 20

GE2025 Viongozi wa Dini na Kamati ya Amani Kufanya Matembezi ya Amani Septemba 20

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Ni wakati sasa viongozi wa dini waoneshe ujasiri wa kweli kwa kuandaa matembezi ya amani yenye lengo mahsusi la kukemea vitendo vya utekaji, ukatili na uonevu vinavyowakumba raia wasio na hatia. Sio haya matukio yao wakitoka wanapewa posho ✊
=================

Kamati Ya Amani na Viongozi Wa Dini Mkoa Wa Dar Es Salaam Inatarajia Kufanya Matembezi Ya Amani Duniani Siku Ya Jumamosi Septemba 20 Tokea Viwanja Vya Mnazi Mmoja Mpaka Viwanja Vya Mashujaa Kuanzia Saa 1 Asubuhi

Akizungumza Na Waandishi Wa Habari Leo Sheikh Mkuu Wa Mkoa Wa Dar Es Salaam na Mwenyekiti Wa Kamati Hiyo Sheikh WALID Akiwa Pamoja Na Viongozi Wengine Wa Dini

Amesema Kuwa Matembezi Hayo Yanalenga Kuhamasisha Amani Ya Taifa La Tanzania Ikiwa Tanzania Inatarajia Kufanya Uchaguzi Mkuu

 
Back
Top Bottom