Viongozi wa dini na mashaka tuliyonayo

Hivi haya mambo ni Africa pekee au kuna mabara mengine labda yana hizi mambo.

Ni ya ajabu mno mtu kama nabii tito anakua na waumini wa kutosha tu daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…