Uchaguzi 2020 Viongozi wa dini na wananchi wameshabariki Rais Magufuli kuongezewa muda wa kusalia madarakani?

Sisi na viongoz wa Dini wabunge wote na wanach wote tumekubal Sasa tusubirin muda utaongea na tutajua ni watu gani wengi na wanataka nn
SEMA WEWE KESY NA NDUGAI NDIO MNATAKA RAISI AONGEZEWE MUDA, USITUSINGIZIE WATANZANIA WOTE
 
Weka tu tume huru ya uchaguzi uone mziki wake.
Wabunge wanaojaribu kujikomba kwa rais sii kwamba wanampeda sana hasha!
Ni wabunge wanaotaka kumtumia rais kama ngazi kwao kusalia madarakani au kurudi bungeni.
Wanafahamu fika kwamba pasipokuwa na dikteta wa kuwarudisha kwenye nafasi zao kwa nguvu bila kuheshimu maamuzi ya kura za wananchi hawatarudi.
Na mtu mwenye uwezo wa kuvunja katiba na kupora haki ya kuchagua ya raia bila soni ni Magu.
Hii ndio sababu ya waoga wote kujikomba kwake kuanzia na yule mkuu wa bunge lililojivua ufahamu.
 
Kuomba tume huru nayo ni dalili ya kushindwa miaka yote mlikua wapi Tena kipind bado chadema ni vijana hamkuona Kama tume Sio huru Ila mmekuja kuona sasaiv huenda ni akili zenu zimesha zeeka au konyag imekolea
 

Hahahahaha
 
watu hawawezi kuongea kitu kwa sasa.
SABABU MUHUSIKA MWENYEWE HAJASEMA KUWA ANATAKA KUONGEZA.
sasa waseme nini?.
atamke mwenyewe kwa mdomo wake kuwa "NATAKA KUONGEZA MUDA WA KUKAA MADARAKANI"
 
Huna jipya Bora ungamaze kiongozi gani wa dini amekubali au Ni hao walioshindwa kukemea unyanyasaji na uuaji unaofanyika kila siku ndio unawaita viongozi hao wanafiki walioshuhudia lissu akipigwa risasi na wakakaa kimya,ao wanaona watu wakitekwa na wengine kuuwawa na hawatoii kauli,hao Ni wanafiki sio viongozi wa Mungu,Ni wachumia tumbo tuu.
 
Wametumwa na Nani?Wenye maamuzi Ni sisi wananchi hatujawatuma.Unamuongezeaje muda my ambaye hajamaliza hata muda wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…