Kumbe huyu Chalamila ni mpuuzi kiasi hiki atakuwa na kichaa cha mbwa siyo bureNi aibu kwa viongozi wa dini kuhudhuria mkutano wa kumsaidia samia apite bila kupingwa ...hiyo inamaanisha mkutano huo mnaenda kuhongwa ili muegemee upande Mmoja ..ni aibu kuhudhuria mkutano wa kujadili namna ya kuisaidia ccm kubaki madarakani...ni aibu kwenu na ni aibu kwetu sisi waumini wenu .iombeeni nchi fanyeni jukumu lenu la kutokuwa upande wowote ..mtanisikitisha sana mtakao hudhuria mkutano huo wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika nchi yetu ...najua chalamila anatumia nguvu kubwa ili apendwe na mamlaka lakini anaweza hata mwaka huu asiumalize kabisa kwa hapa dar
Nilisema hivii, huyu Chalamila hata Paul Makonda ni afadhali.Binafsi nilishtuka kusikia RC anaongea vile, tukio la kupokea ndege Jamaa kaingiza pumba ajabu mpaka samia akaona aibu hata kutoa hotuba .
Mbongo akiwa anakula kupitia mamlaka yako atakusifu hata Sifa usizostahili
Ni aibu kwa viongozi wa dini kuhudhuria mkutano wa kumsaidia samia apite bila kupingwa ...hiyo inamaanisha mkutano huo mnaenda kuhongwa ili muegemee upande Mmoja ..ni aibu kuhudhuria mkutano wa kujadili namna ya kuisaidia ccm kubaki madarakani...ni aibu kwenu na ni aibu kwetu sisi waumini wenu .iombeeni nchi fanyeni jukumu lenu la kutokuwa upande wowote ..mtanisikitisha sana mtakao hudhuria mkutano huo wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika nchi yetu ...najua chalamila anatumia nguvu kubwa ili apendwe na mamlaka lakini anaweza hata mwaka huu asiumalize kabisa kwa hapa dark
Huyo jamaa huwa ana pumba daily, labda useme za leo zimefunika nyingine.Binafsi nilishtuka kusikia RC anaongea vile, tukio la kupokea ndege Jamaa kaingiza pumba ajabu mpaka samia akaona aibu hata kutoa hotuba .
Mbongo akiwa anakula kupitia mamlaka yako atakusifu hata Sifa usizostahili
Hawajipendi, usajili wa makanisa yao unaufanya wewe.Ni aibu kwa viongozi wa dini kuhudhuria mkutano wa kumsaidia Samia apite bila kupingwa, hiyo inamaanisha mkutano huo mnaenda kuhongwa ili muegemee upande Mmoja.
Ni aibu kuhudhuria mkutano wa kujadili namna ya kuisaidia CCM kubaki madarakani, ni aibu kwenu na ni aibu kwetu sisi waumini wenu. Iombeeni nchi, fanyeni jukumu lenu la kutokuwa upande wowote.
Mtanisikitisha sana mtakao hudhuria mkutano huo wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika nchi yetu, najua Chalamila anatumia nguvu kubwa ili apendwe na mamlaka lakini anaweza hata mwaka huu asiumalize kabisa kwa hapa Dar.
Ni aibu kwa viongozi wa dini kuhudhuria mkutano wa kumsaidia Samia apite bila kupingwa, hiyo inamaanisha mkutano huo mnaenda kuhongwa ili muegemee upande Mmoja.
Ni aibu kuhudhuria mkutano wa kujadili namna ya kuisaidia CCM kubaki madarakani, ni aibu kwenu na ni aibu kwetu sisi waumini wenu. Iombeeni nchi, fanyeni jukumu lenu la kutokuwa upande wowote.
Mtanisikitisha sana mtakao hudhuria mkutano huo wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika nchi yetu, najua Chalamila anatumia nguvu kubwa ili apendwe na mamlaka lakini anaweza hata mwaka huu asiumalize kabisa kwa hapa Dar.
Nilisema hivii, huyu Chalamila hata Paul Makonda ni afadhali.
And I am not even a Makonda fan.
Kuna walihaodaika na propaganda za awamu iliyopita kuwa CCM ilikuwa imara, tulisema CCM ya awamu iliyopita haikuwahi kuwa imara bali ilikuwa na mwenyekiti mlevi wa madaraka, akatumia kofia yake ya uamiri jeshi mkuu kuibeba ccm. Madhara yake ameiacha ccm isiyoweza tena kushindana kisiasa, bali kutegemea janja janja.
Mama Samia kwakuwa hana tabia za aliyepita, lakini hata yeye na wañaccm wenzake hawana tena uwezo wa kushindana kisiasa, wote wamepata ulemavu wa kudumu wa kupita bila kupingwa. Kwahiyo mama Samia hataki kupora uchaguzi kama alivyofanya mtangulizi wake, lakini hataki kushindana maana anaona aibu kushindwa, hivyo anataka aachiwe goli wazi bila ushindani!
Chalamila siku zote ni mnafiki tu.Ni aibu kwa viongozi wa dini kuhudhuria mkutano wa kumsaidia Samia apite bila kupingwa, hiyo inamaanisha mkutano huo mnaenda kuhongwa ili muegemee upande Mmoja.
Ni aibu kuhudhuria mkutano wa kujadili namna ya kuisaidia CCM kubaki madarakani, ni aibu kwenu na ni aibu kwetu sisi waumini wenu. Iombeeni nchi, fanyeni jukumu lenu la kutokuwa upande wowote.
Mtanisikitisha sana mtakao hudhuria mkutano huo wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika nchi yetu, najua Chalamila anatumia nguvu kubwa ili apendwe na mamlaka lakini anaweza hata mwaka huu asiumalize kabisa kwa hapa Dar.
Makonda kadhulumu haki ya watu kuishi.wewe unamlinganisha makonda na chalami makonda ni bora kuliko mawaziri wa mama 10
Makonda wako ndio hatutaki hata kumsikiaNilisema hivii, huyu Chalamila hata Paul Makonda ni afadhali.
And I am not even a Makonda fan.
Nikikwambia huyu Chalamila bora hata Makonda sina maana Makonda namkubali.Makonda wako ndio hatutaki hata kumsikia