GE2025 Viongozi wa dini waeleza kuridhishwa na usalama wa nchi

GE2025 Viongozi wa dini waeleza kuridhishwa na usalama wa nchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Alhad Mussa Salum, amesema kuwa kwa tathmini waliyoifanya viongozi wa dini katika kipindi hiki cha kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, amani na usalama vimepewa kipaumbele.

Amesema viongozi wa dini wameridhishwa na weledi wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini kwa namna vinavyosimamia usalama wa wananchi na kuhakikisha kampeni zinafanyika kwa utulivu.

Sheikh Alhad ameongeza kuwa vyama vya siasa vinaendelea kufanya kampeni katika mazingira ya uhuru na ustaarabu, ambapo kila mgombea ananadi sera za chama chake bila bughudha, jambo linaloonesha ukomavu wa kisiasa nchini.

Ameyasema hayo katika kipindi cha Mizani cha TBC1, ambacho kinajadili jukumu la raia na viongozi katika kulinda amani na utulivu wakati wa uchaguzi.
Nilipo waambia watu hapa jf kuhusu waislamu...watu mliniita mdini 😁😁 Muslims ni tatizo ni watu wapumbavu haswa wanaotumiwa na wahuni siku zote hata muhammad alisema waislamu ni wengi ila nikama puvu la bahari (yaani uchafu wa mizoga ya bahari ifanyayo povu)
 
 
Shida iko hapa 👇
 

Attachments

  • clemence_mwandambo-20251009-0001.mp4
    20.9 MB
Back
Top Bottom