Viongozi wa dini wafika kumuona Maalim Seif

Viongozi wa dini wafika kumuona Maalim Seif

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Viongozi wa kidini wa Kamati ya Amani Tanzania inayojumuisha viongozi wa kidini na madhehebu mbalimbali Tanzania waonana na Maalim Seif.



Kiongozi wa ujumbe wa Kamati ya Amani alibainisha ni wao ndiyo walimuandikia barua kuomba waonane naye Maalim Seif na wakatoa shukurani kwa mgombea wa tiketi ya ACT-WAZALENDO uRais wa SMZ 2020 kuwakubalia kuonana nao.
 
Maalim Seif azingatie yale yote aliyoshauriwa.
 

HAPO MWEZI SEPTEMBER 2020 VIONGOZI WA DINI WA KAMATI YA AMANI WAKEMEA MADHABAHU KUTUMIKA KISIASA

 
Hawa viongozi wa kiroho ni wa ajabu sana..

Hawana ujasiri wa kukemea maovu ya watawala kunyanyasa na kuonea wananchi, lakini wana guts za kumshauri mtu anayepigania haki kuacha kufanya vile...

Hili ni tatizo. Maalim Seif Sharif Hamad, usije kufuata ushauri wa viongozi hao wa dini za kuzimu..

Viongozi wa dini ya kweli ya Mungu husugua magoti yao kuombea taifa na siyo kwenda kushawishi watetea haki za wananchi kuacha kutetea haki kwa kisingizio cha "kuwa wazalendo" ama "kulinda amani ya nchi"..

Wakumbuke kuwa AMANI ni tunda la HAKI...

Wanaihatarisha AMANI ya nchi kwa sasa wako wazi. Ni watawala na CCM wakitumia polisi na TISS na magenge ya uhalifu yaliyodhaminiwa na kulindwa na serikali ya CCM..!!
 
Back
Top Bottom