Viongozi wa dini wafika kumuona Maalim Seif

Viongozi wa dini wafika kumuona Maalim Seif

Hawa viongozi wa kiroho ni wa ajabu sana..

Hawana ujasiri wa kukemea maovu ya watawala kunyanyasa na kuonea wananchi, lakini wana guts za kumshauri mtu anayepigania haki kuacha kufanya vile...

Hili ni tatizo. Maalim Seif Sharif Hamad, usije kufuata ushauri wa viongozi hao wa dini za kuzimu..

Viongozi wa dini ya kweli ya Mungu husugua magoti yao kuombea taifa na siyo kwenda kushawishi watetea haki za wananchi kuacha kutetea haki kwa kisingizio cha "kuwa wazalendo" ama "kulinda amani ya nchi"..

Wakumbuke kuwa AMANI ni tunda la HAKI...

Wanaihatarisha AMANI ya nchi kwa sasa wako wazi. Ni watawala na CCM wakitumia polisi na TISS na magenge ya uhalifu yaliyodhaminiwa na kulindwa na serikali ya CCM..!!
Amshamalizana nao mkuu ..jibu lake ni moja tu kama haki itakwepo amani ipo kinyume chake hakuna amani na wasitegemee hilo litatokea

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Maalim kataa ujinga huo.
Maovu chungu nzima tumeyaoa kwa maika mitano, sijawahi kuwaona wakienda kwa Magufuli.

Watakwambia wakiiba kura kubali tu, tulinde amani.

Hawajali HAKI hao.
 
Back
Top Bottom