Viongozi wa dini wafika kumuona Maalim Seif

Amshamalizana nao mkuu ..jibu lake ni moja tu kama haki itakwepo amani ipo kinyume chake hakuna amani na wasitegemee hilo litatokea

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Maalim Seif azingatie yale yote aliyo shauriwa.
Aliwajua kuwa ni wanafiki hivyo akawasukumia boli wahangaike nalo huko walikotoka, wasingekuwa wanafiki wangeanzia kwenye tume wajue chanzo kisha waende kwa Maalim.
 
Huyu alipewa uwaziri na shein kipindi kile maalim yupo serkalini akaoa mke Oman akasahau majukumu ya uwaziri
Mwinyi mkubwa alishindwa uwaziri na akawa raisi au umesahau kiazi wewe
 
Maalim kataa ujinga huo.
Maovu chungu nzima tumeyaoa kwa maika mitano, sijawahi kuwaona wakienda kwa Magufuli.

Watakwambia wakiiba kura kubali tu, tulinde amani.

Hawajali HAKI hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…