Viongozi wa dini waiweka Serikali pabaya kuhusu Katiba Mpya

Hivi ni kwa nn viongozi wote wa dini ya kiislamu wana macho mekundu? Just curious


Umejaa uchonganishi kwa kukalia kuangalia macho ya viongozi wa dini inaelekea wewe ni agent wa mauaji ya vikongwe hii concept inakujaje humu fikiri sawasawa acha michepuko!!!!
 
Hii katiba haitakiwi ipigiwe kura kipindi hiki cha uchaguzi yaani yatakiwa tusubiri uchaguzi uishe maana kwa sasa tutapata madudu sio katiba turekebishe tume ya uchaguzi mambo yaendeleee vinginevyo kazi ipoo udini utatumaliza


Hiyo siyo kazi yako waachie wananchi na serikali yao hujui kitu!
 
Wakienda shinyanga wanakouwa vikongwe, hakyanani hawarudi hao.

Shehe Mkuu anatoka Shinyanga, ambapo tatizo la kukosa kuni za kupitia ziliwafanya wenyeji wake kutumia kinyesi cha ng'ombe kama nishati ya kupikia.

Sasa kwa umri aliofika na tatizo la hilo LA kupikia kinyesi cha ngo'ombe badala ya kumi au mkaa ndipo linakuja suala LA macho mekundu. Rejea mauaji ya wazee huko Shinyanga na macho yao mekundu.
 
tatizo la viongozi wa kislamu ni shule,wao wanajua sana kuruani, hivyo ukijua tu kuruani na hadith za mtume unapewa usheik! na uongozi hili ni tatizo kubwa,sasa angalia baada ya kuambiwa hakuna kadhi ndio wanasema hawapigi kura,yaani hawajaona mapungufu yoyote kwenye katiba zaidi ya kadhi,jamani haya ni matatizo,angalia sasa tofauti na wakristo, kwanza wameji organise wote, tamko limetoka kuhusu katiba kwa ujumla wake kwamba katiba haifai,hii sasa ndio shule,ndugu waislam badilikeni jiwekeeni misingi ya uongozi,kwamba hata kama mtu anajua kuruani anapotakiwa kua kiongozi hata wa msikiti awe basi japo na diploma,binafsi mmenikera sana yaani mgepewa kadhi ilikua mnaipigia katiba ndio?whater fuk!!
 

Nilikua napitia mchango wako nikadhani ukeandika hoja ya maana kumbe na wewe mi yale yale mchonganishi masuala ya elimu za viongozi wetu wa dini yanatafuta nini humu JF,ch
ondechonde jambo hili halina maana humu tujielekeze kwenye mambo ya msingi.
 
Nilikua napitia mchango wako nikadhani ukeandika hoja ya maana kumbe na wewe mi yale yale mchonganishi masuala ya elimu za viongozi wetu wa dini yanatafuta nini humu JF,ch
ondechonde jambo hili halina maana humu tujielekeze kwenye mambo ya msingi.

hawana sasa elimu kwa hiyo tunyamaze,wewe huoni tatizo hapo linalotokana na elimu, ambalo ndio lilikua linatupeleka kwenye tatizo kubwa la katiba,yaani waislam wangepewa kadhi walikua wanapitisha katiba,na tena wanasema waziwazi kwakua kadhi hakuna sasa ndio hatupigi kura,tatizo waloliona ni kadhi tu alahauraa salaaree!! hamna shule hapo na bila kuambiana ukweli nakwambia tutakwama
 

Usihukumu watu kwa ujumla wao! Na wala usiwadharau watu kwa dini yao. Usiwe muongo, Waislam hawana elimu? Siii kweli kuna Waislam wanaelimu nzuri saaana tena ni wasomi wa hali ya juu nchini kuliko unavyodhani wewe. Kusema hawana elimu "hamna shule hapo".



Huu ni udhalilishaji, upotoshaji na kutoheshimu dini za wengine zaidi ya hayo tabia hii inaleta mwelekeo wa uchochezi baina ya Wakristo na Waislam. Tabia hii siii njema na wala hatupaswi kifumbia macho, ni wajibu wetu sote wenye mapenzi mema na nchi kukemea tabia hii yenye kichochezi.
 
[h=2]Mahakama ya Kadhi Haipo kwenye Quran[/h]
Ndugu wasomaji.

Leo ningependa kusema kuwa, dai la Waislam wa Tanzania la Mahakama ya Kadhi halina msingi wala usaidizi wa Quran.

Kwa wanao ifahamu Quran, watakubaliana na mimi kuwa HAKUNA AYA HATA MOJA ambayo Allah alisema na au Waamrisha Waislam waende kwenye Mahakama ya Kadhi. Narudia tena hakuna aya.

SASA NDUGU WAISLAM:


1. Who appoints Chief Kadhi and Kadhis?

2. What are the qualification for appointment to the office of a Kadhi (including a Chief Kadhi)?

3. Since the Kadhis are not trained lawyers who understand the Evidence Act and the Civil Procedure Act, how and/or what will they use to administer their Courts?

4. Muslims are mainly of two sects in Tanzania - the Sunni and Shia. Majority of the Muslims in Tanzania are Sunni Muslims but there is a significant population of Shia Muslims too and consideration ought to be given to the appointment of Kadhis of the Shia Sect to cater the interest of the Shia Muslims. Will they have two different Courts? For Sunni and Shia?

5. How will Muslim Women be protected since: Muslim law regards women as less than men in matters of both marriage and divorce, as well as devolution of property: Holy Quran Surah 2:228-232, and Surah 65:1-7 (only a man may divorce his wife even if he is required to provide for her); a man may beat his wife, even if lightly, the evidence of two women, is equal to evidence of one man (Surah 2:282). The application of such beliefs of faith are contrary to the Constitution.


Islamic "Kadhi" courtsis illegal and discriminatory.


Kwanini mnamsaidia Allah kwa kuanzisha Mahakama ya Kadhi?
 

ulitakiwa uanze kusoma post yangu ya mwanzo,ndio hayo ninayosema shule, na wewe umekurupuka tu kwanza acha jazba,basi ngoja nirudie nilisema viongozi wa dini ya kislamu,ni yule mtu anaejua kuruani na hadith za mtume, ukijua tu hayo basi tayari wewe ni sheikh! na uongozi unapata uwe wa msikiti au jumuiya,waislamu wenye proffesional zao hapa hawapo,na wala hawawezi kupata uongozi sababu kuruani na hadith za mtume hawako vizuri,usichanganye mama ni vizuri ukasoma post yangu ya kwanza,hizi shule jamani
 


Maelezo yako nimeyapata japo ni makali naona umekubali mwenyewe nje ya Katiba hakuna Maelewano kwa maana ya Ukawa walipogomea mchakato wa KaTIBA MPYA walichemka na zaidi unawahamasisha watanzania bila kujali tofauti zao za dini kuipigia kura nyingi za ndiyo kwa kuzingatia msingi uliomo kwenye katika wa kutofungamanisha shughuli za serikali na dini.
 
....hadithi baba mmoja alikuwa na watoto wawili mmoja akawa anabomoa ukuta wa nyumba yao pekee inayotegemewa na mwingine akawa anamzuia hakumuelewa akaenda kumweleza baba yao(serikali) cha kushangaza baba akasema mwache aendelee kubomoa kwa sababu ashazoea!!! kilichoendelea mimi sikuhadithiwa tena.
 
Hii katiba haitakiwi ipigiwe kura kipindi hiki cha uchaguzi yaani yatakiwa tusubiri uchaguzi uishe maana kwa sasa tutapata madudu sio katiba turekebishe tume ya uchaguzi mambo yaendeleee vinginevyo kazi ipoo udini utatumaliza

usiingilie mamlaka yasiyokuhusu wewe sio Serikali, mimi nasubiri taarifa rasmi kuhusu yatakayojiri,nachojuanmimi kura ya maoni kwa katiba inayopendekezwa haiepukiki nchini.
 
hawa viongozi wa dini kwa kweli kwa upande wangu nashindwa kuwaelewa kwamba hivi jukumu lao la msingi ni lipi? Kuwajenga wafuasi wao kiroho au kushiriki siasa?basi waanzishe chama na wakisajili,mie naomba kuwakumbusha kuwa jukumu lao la msingi ni kuwasaidia wafuasi wao kiroho na sikuwafundisha mambo haya yakusema kapigeni kura ya hapana wakati wa kura ya maoni kuhusu katiba inayopendekezwa,hatutaki kuamuliwa,tucheni tuamue wenyewe tunao utashi wa kuamua,kwa sasa tupeni muda tuisome katiba inayoendekezwa.tutafanya uamuzi sahihi kwa wakati muafaka,tutaipigia kura vzriiiiii............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…