Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Wakuu,
Yaani serikali, CCM mpaka mama mnaishangaza dunia, na kufanya hata tusiamini kwa huu ujinga na upuuzi mnatenda.
Mama hadi alikenua Sheikh wa BAKWATA kumuombea ampe tulizo la moyo kwa kumpa mitano tena, hapo Sheikh alikuwa malaika, hana baya, ila ukiambiwa kweli ndio ukunje ndita?
Vipi kuhusu kuwajibika na kuhahakisha uonevu huo hautokei? Vipi kuwajibika kuhakikisha wanaotenda vitendo hivyo wachukuliwe hatua?
Ukiendelea kucheka ukisifiwa na kureact ukiambiwa kweli hapa unatuachia sisi tujumlishe 1 na 3 tupate jibu letu!
Unatoa onyo halafu wanaendelea kutetea kweli wanaishia 'kushughulikiwa' na mbali zaidi uko kimya hata hujishtui, hatujaona hata pole ya kinafki unataka Watanzania tuamini vinginevyo?
Mama umetuangusha sana wanawake, umekuwa mfano mbaya na unazidi kuharibu kwa kuendelea kuwa kiziwi na kukubali ushauri wa washenzi (ashakum)
Anyhu, acha tuendelee kuangalia anguko lako, maana imekuwa sikio la kufa, dawa zote 'zimedinda'!
Nabubujikwa machozi ya huzuni