Askofu ruwaichi kwa ninavyomfahamu yupo rational sana si MTU wa kupepesa ndimi. Pia hata katibu wa tec fr kitima, Ila ubaya unakuja pale BASHITE anapoaandaa haya makongamano yake anachagua taipu za watu wa kwenda kushiriki hakika na naaimini hawezi muita MTU kama Dr kitima. That man hapepesi ukweli pia kwa ruwaich na skofu mfumbusakwani Askofu Ruwa'ichi anasema je?
Afadhali Askofu wangu akuongea .Dk Malasusa otherwise kukaa kimya baba na kuombea taifa kimoyomoyo ni busara .Mungu akutunze tu
Ngoja hao waumini waache kutoa hizo sadaka.
kwani Askofu Ruwa'ichi anasema je?
Pengo atutake radhi watanzania.
Na Katoliki watoe tamko watuambie kama Pengo anaongea kwa niaba ya kanisa au ni maharage aliyokula.
Askofu ruwaichi kwa ninavyomfahamu yupo rational sana si MTU wa kupepesa ndimi. Pia hata katibu wa tec fr kitima, Ila ubaya unakuja pale BASHITE anapoaandaa haya makongamano yake anachagua taipu za watu wa kwenda kushiriki hakika na naaimini hawezi muita MTU kama Dr kitima. That man hapepesi ukweli pia kwa ruwaich na skofu mfumbusa
Ngoja hao waumini waache kutoa hizo sadaka.
Kabisa, hili neno!Pengo atutake radhi watanzania.
Na Katoliki watoe tamko watuambie kama Pengo anaongea kwa niaba ya kanisa au ni maharage aliyokula.
Maana ndizo zinawapa kiburi. Wamuulize mzee wa Upako keshaona madhara maana na yeye anakiri sadaka zimepungua. Wakiacha waone kama watapewa ruzuku
Kabisa, mimi binafsi nitatafakari hatua ya kuchukua dhidi ya kanisa kama niendelee kuwa muumini ama la.Na kama Kanisa Katoliki halitajitokeza haraka ' Kumkana ' huyo ' Mstaafu wa Kiroho Mpuuzi ' basi ' Anguko la Kanisa Katoliki nchini Tanzania linawadia na wasishangae hata Sadaka wakawa wanapata Tsh 200/= au Jero tu kwa kila Ibada. Chezeeni Watu wote nchini Tanzania ila siyo Wakatoliki ambao wanajitambua.
Hajaishia tu Kupata Sadaka ' Kiduchu ' Mkuu bali hata Yeye Mwenyewe Afya yake hivi sasa ni ya ' Tia Maji Tia Maji ' ambapo Israeli ameanza Kucheza nae karibu ambapo asipotubu nae Dhambi zake mapema kwa Unafiki wake huenda Israeli akafanya yake muda wowote na Wingu Jeusi Kutanda Kuanzia Ubungo hadi Kawe Beach jirani na Kituo cha Redio cha Times FM.
Kuna kichwa kinaitwa Severine niwemugizi kinapatikana jimboni Rulenge- ngara ni smart mind personViongozi imara wakatoliki wako Kongo, hapa kwetu wanamuogopa king!
Sie tunaosali nyumbani tunawcheki tu namna dini inavyowaburuza kondoo!