Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Ule wakati wa kujivuna kuwa Mkatoliki umeisha sasa. Najisikia kuaibishwa na yanayoendelea ndani ya kanisa letu. Mungu tu aingilie kati. Sijawahi kusikia kiongozi wangu akipiga kampeni za siasa.