GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Jopo la wachungaji na viongozi wa dini mbalimbali wamekutana na madereva bodaboda zaidi ya 200 wa kijiwe cha Kilimanjaro ndani ya Halmshauri ya Mji Tunduma kwa lengo la kufanya maombi na kuondoa pepo la ajali zilizotokea mfululizo ndani ya mwezi Agosti na kusababisha vifo.
Chanzo: East Africa TV
Ajali zinazuilika kwa Maombi au kwa Watu kupewa Elimu, Kujitambua na Mamlaka kutekeleza Wajibu wake Kisheria?
Chanzo: East Africa TV
Ajali zinazuilika kwa Maombi au kwa Watu kupewa Elimu, Kujitambua na Mamlaka kutekeleza Wajibu wake Kisheria?