Viongozi wa dini wamekutana na madereva bodaboda zaidi ya 200 kufanya maombi na kuondoa pepo la ajali

Hapo Boda inatakiwa wabadili tabia zao.

Waache Bangi,

Pombe

Na wajifunze sheria za barabarani ajali zikiendelea basi waombewe.
Umemaliza kila Kitu na ungekuwa darasani Kwangu hapa ningekupa 98% ambayo ni Distinction A kabisa kwa Madini.
 
Jopo la wachungaji na viongozi wa dini mbalimbali wamekutana na madereva bodaboda zaidi ya 200 wa kijiwe cha Kilimanjaro ndani ya Halmshauri ya Mji Tunduma kwa lengo la kufanya maombi na kuondoa pepo la ajali zilizotokea mfululizo ndani ya mwezi Agosti na kusababisha vifo.

Chanzo: East Africa TV

Ajali zinazuilika kwa Maombi au kwa Watu kupewa Elimu, Kujitambua na Mamlaka kutekeleza Wajibu wake Kisheria?
Hawahitaj maombi hawa, wanatakiwa kujitambua tu.

Bora ungetulia kuliko kukandia madhehebu mengine na kusifia ukatoliki

Mna makandokando mengi, hamna tofauti na hao wengine

Nikianza kutoa hoja itabidi watu watuache mimi na wewe
Dhehebu la Kikristo lenye Historia kwa mengineyo na lenye Watu makini ( hasa Werevu ) ni la Katoliki peke yake duniani.
 
Sio kweli! Dini ipo ili kuwaunganisha watu na kuwafanya wawe na tabia njema

Dhehebu halina nafasi lakini ukitaka tuizingatie ukatoliki hamna haki ya kujiona bora kuliko wengine kwa tabia mnazozionyesha za kusupport ubaguzi na mapenzi ya jinsia moja.
 
Jopo la wachungaji na viongozi wa dini mbalimbali wamekutana na madereva bodaboda zaidi ya 200 wa kijiwe cha Kilimanjaro ndani ya Halmshauri ya Mji Tunduma kwa lengo la kufanya maombi na kuondoa pepo la ajali zilizotokea mfululizo ndani ya mwezi Agosti na kusababisha vifo.

Chanzo: East Africa TV

Ajali zinazuilika kwa Maombi au kwa Watu kupewa Elimu, Kujitambua na Mamlaka kutekeleza Wajibu wake Kisheria?
Nayakataa maombi hayo kwani hapo anasingiziwa shetaniii shida ni hao bodaboda na shida nyingine ni wanao waombea.Hii ni sawa na kumwombea mwana sii hasaaaa mwizi?Je hiyo itakuwa ili aendelee kuiba bila budha au ili iweje?
 
Sio kweli! Dini ipo ili kuwaunganisha watu na kuwafanya wawe na tabia njema

Dhehebu halina nafasi lakini ukitaka tuizingatie ukatoliki hamna haki ya kujiona bora kuliko wengine kwa tabia mnazozionyesha za kusupport ubaguzi na mapenzi ya jinsia moja.
Achana na Mapenzi ya Jinsia Moja kwani hata huko Dhehebuni Kwako na katika Dini zingine yako tena huenda sana tu.
 
Sasa huo ndio udhaifu wenu! Papa alisema muwabariki ndoa zao huo ni udhaifu mliouonyesha

Na tabia yako ya kwenda Pemba ndio kabisa🙌
 
Nilijua tu utakumbukia hiyo 'Pemba' ili upate sababu.
 
Dini ya kweli ni upendo! Sio ukristo wala uislamu wala ukatoliki wala ulokole.
Ndiyo maana Nakupenda ila sijui kwanini hutaki Kunielewa Dada. au unaogopa nitakosea na kukupeleka kule Pemba?
 
Back
Top Bottom