GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Pale tunduma hadi mbeya kubwa ni barabara na elimu kwa boda boda na bajajiJopo la wachungaji na viongozi wa dini mbalimbali wamekutana na madereva bodaboda zaidi ya 200 wa kijiwe cha Kilimanjaro ndani ya Halmshauri ya Mji Tunduma kwa lengo la kufanya maombi na kuondoa pepo la ajali zilizotokea mfululizo ndani ya mwezi Agosti na kusababisha vifo.
Chanzo: East Africa TV
Ajali zinazuilika kwa Maombi au kwa Watu kupewa Elimu, Kujitambua na Mamlaka kutekeleza Wajibu wake Kisheria?
Nime ku dislike kabla sijaona id yako, kumbe ni wewe.Hawa wachungaji walitakiwa wawepo mirembe sema ndio hivyo tu🤔
Kwamba wao wana nini mkuuKuna muda ndio mana huwa nawakubali sana RC
😁Kwan huwa una dislike kwa kutazama nini zaidi ya hoja.Nime ku dislike kabla sijaona id yako, kumbe ni wewe.
Halafu Viongozi wa Dini wameenda. Yaani kuna Watu fulani Wapumbavu wanatufanya Waafrika wote ni Wapumbavu.Pale tunduma hadi mbeya kubwa ni barabara na elimu kwa boda boda na bajaji
Ile barabara ni nyembamba sana na ina mawimbi mnapishana kwa tabu mno tusimsingizie shetani kwa hili
Nime dislike hoja yako ila ghafla nikaona avatar yako, nikasema kumbe ni mwamba huyu😁Kwan huwa una dislike kwa kutazama nini zaidi ya hoja.
Wakimaliza hapo waombee na ubakajiJopo la wachungaji na viongozi wa dini mbalimbali wamekutana na madereva bodaboda zaidi ya 200 wa kijiwe cha Kilimanjaro ndani ya Halmshauri ya Mji Tunduma kwa lengo la kufanya maombi na kuondoa pepo la ajali zilizotokea mfululizo ndani ya mwezi Agosti na kusababisha vifo.
Chanzo: East Africa TV
Ajali zinazuilika kwa Maombi au kwa Watu kupewa Elimu, Kujitambua na Mamlaka kutekeleza Wajibu wake Kisheria?
Hakuna Dhehebu linalojitambua na lenye Watu Werevu zaidi duniani kote kama Dhehebu langu tu Takatifu la Katoliki.Kuna muda ndio mana huwa nawakubali sana RC
Pabaya sana pale, maombi hayawezi kufanya chochote kwa boda boda wavuta bangiJopo la wachungaji na viongozi wa dini mbalimbali wamekutana na madereva bodaboda zaidi ya 200 wa kijiwe cha Kilimanjaro ndani ya Halmshauri ya Mji Tunduma kwa lengo la kufanya maombi na kuondoa pepo la ajali zilizotokea mfululizo ndani ya mwezi Agosti na kusababisha vifo.
Chanzo: East Africa TV
Ajali zinazuilika kwa Maombi au kwa Watu kupewa Elimu, Kujitambua na Mamlaka kutekeleza Wajibu wake Kisheria?
Purely talented charismatic fellaHakuna Dhehebu linalojitambua na lenye Watu Werevu zaidi duniani kote kama Dhehebu langu tu Takatifu la Katoliki.
Wakati na Wao wenyewe Wanabaka hivyo hivyo tu Mkuu au hujui au umeamua tu Kujizima Data Kimtindo?Wakimaliza hapo waombee na ubakaji
GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE kiboko ya Wapumbavu, Washamba na Wapumbavu wote hapa duniani na hadi Ahera!!!Purely talented charismatic fella
Bangi na pombe vina kosa gani?Hapo Boda inatakiwa wabadili tabia zao.
Waache Bangi,
Pombe
Na wajifunze sheria za barabarani ajali zikiendelea basi waombewe.
Bora ungetulia kuliko kukandia madhehebu mengine na kusifia ukatolikiHakuna Dhehebu linalojitambua na lenye Watu Werevu zaidi duniani kote kama Dhehebu langu tu Takatifu la Katoliki.
Hakika wewe ni kiboko ya wapumbavu😅GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE kiboko ya Wapumbavu, Washamba na Wapumbavu wote hapa duniani na hadi Ahera!!!