GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Umemaliza kila Kitu na ungekuwa darasani Kwangu hapa ningekupa 98% ambayo ni Distinction A kabisa kwa Madini.Hapo Boda inatakiwa wabadili tabia zao.
Waache Bangi,
Pombe
Na wajifunze sheria za barabarani ajali zikiendelea basi waombewe.
Bangi na pombe sio kwa kila mtu.Bangi na pombe vina kosa gani?
Haoo kwenye sheria nakuunga mkono
Nakubali.Bangi na pombe sio kwa kila mtu.
Wengine wakitumia wanawehuka kabisa.
Na wanalijua hilo kabisa.Hakika wewe ni kiboko ya wapumbavu😅
Hawahitaj maombi hawa, wanatakiwa kujitambua tu.Jopo la wachungaji na viongozi wa dini mbalimbali wamekutana na madereva bodaboda zaidi ya 200 wa kijiwe cha Kilimanjaro ndani ya Halmshauri ya Mji Tunduma kwa lengo la kufanya maombi na kuondoa pepo la ajali zilizotokea mfululizo ndani ya mwezi Agosti na kusababisha vifo.
Chanzo: East Africa TV
Ajali zinazuilika kwa Maombi au kwa Watu kupewa Elimu, Kujitambua na Mamlaka kutekeleza Wajibu wake Kisheria?
Wewe ulishawahi kuona RC wanatoa watu mapepo unajua kwanini?Kwamba wao wana nini mkuu
Dhehebu la Kikristo lenye Historia kwa mengineyo na lenye Watu makini ( hasa Werevu ) ni la Katoliki peke yake duniani.Bora ungetulia kuliko kukandia madhehebu mengine na kusifia ukatoliki
Mna makandokando mengi, hamna tofauti na hao wengine
Nikianza kutoa hoja itabidi watu watuache mimi na wewe
Sio kweli! Dini ipo ili kuwaunganisha watu na kuwafanya wawe na tabia njemaDhehebu la Kikristo lenye Historia kwa mengineyo na lenye Watu makini ( hasa Werevu ) ni la Katoliki peke yake duniani.
Yesu nae alikuwa mfanyabiashara? Maana nae alitoa pepoWewe ulishawahi kuona RC wanatoa watu mapepo unajua kwanini?
Watoaji mapepo asilimia kubwa ni wafanyabiashara
Nayakataa maombi hayo kwani hapo anasingiziwa shetaniii shida ni hao bodaboda na shida nyingine ni wanao waombea.Hii ni sawa na kumwombea mwana sii hasaaaa mwizi?Je hiyo itakuwa ili aendelee kuiba bila budha au ili iweje?Jopo la wachungaji na viongozi wa dini mbalimbali wamekutana na madereva bodaboda zaidi ya 200 wa kijiwe cha Kilimanjaro ndani ya Halmshauri ya Mji Tunduma kwa lengo la kufanya maombi na kuondoa pepo la ajali zilizotokea mfululizo ndani ya mwezi Agosti na kusababisha vifo.
Chanzo: East Africa TV
Ajali zinazuilika kwa Maombi au kwa Watu kupewa Elimu, Kujitambua na Mamlaka kutekeleza Wajibu wake Kisheria?
Achana na Mapenzi ya Jinsia Moja kwani hata huko Dhehebuni Kwako na katika Dini zingine yako tena huenda sana tu.Sio kweli! Dini ipo ili kuwaunganisha watu na kuwafanya wawe na tabia njema
Dhehebu halina nafasi lakini ukitaka tuizingatie ukatoliki hamna haki ya kujiona bora kuliko wengine kwa tabia mnazozionyesha za kusupport ubaguzi na mapenzi ya jinsia moja.
Sasa huo ndio udhaifu wenu! Papa alisema muwabariki ndoa zao huo ni udhaifu mliouonyeshaAchana na Mapenzi ya Jinsia Moja kwani hata huko Dhehebuni Kwako na katika Dini zingine yako tena huenda sana tu.
Nilijua tu utakumbukia hiyo 'Pemba' ili upate sababu.Sasa huo ndio udhaifu wenu! Papa alisema muwabariki ndoa zao huo ni udhaifu mliouonyesha
Na tabia yako ya kwenda Pemba ndio kabisa🙌
Dini ya kweli ni UpendoNilijua tu utakumbukia hiyo 'Pemba' ili upate sababu.
Hata langu la Katoliki Dada?Dini ya kweli ni Upendo
Hizo dhehebu ni janjajanja za wabinafsi na wapenda madaraka.
Dini ya kweli ni upendo! Sio ukristo wala uislamu wala ukatoliki wala ulokole.Hata langu la Katoliki Dada?
Ndiyo maana Nakupenda ila sijui kwanini hutaki Kunielewa Dada. au unaogopa nitakosea na kukupeleka kule Pemba?Dini ya kweli ni upendo! Sio ukristo wala uislamu wala ukatoliki wala ulokole.