Viongozi wa dini wamewaombea Wafanyakazi nyongeza ya mishahara siku ya Mei mosi, lakini maombi hayakufika juu

mtoto wa mchungaji

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2020
Posts
279
Reaction score
480
Leo niliona viongozi wa vyama vya wafanyakazi katika maandalizi yao waliweka viongozi wengi wa dini kuzidi hafla zozote zilizowai fanyika hili hawa viongozi wafikishe maombi kwa Mungu ya maslai bora, mishahara juu kazi iendelee lakini imekuwa tofauti sijui vipi.
sijajua kama tatizo liko wapi.
 
Nawasalimu Kwa Jina La Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜ƒ


Ninyi Mtajibu ~~~ Kazi Iendelee!☻☻☹☹

Kuielewa Serikali Ni Kazi
Masikini Hapendi Watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…