S Stuka JF-Expert Member Joined Jul 19, 2022 Posts 282 Reaction score 906 Jul 3, 2024 #1 Your browser is not able to display this video. Your browser is not able to display this video.
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,311 Reaction score 36,056 Jul 3, 2024 #2 Viongozi wenyewe wamechoka sana
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Jul 3, 2024 #3 Mungu amejibu maombi yetu. Hawa sasa ndiyo Gen Z ya Tanzania. Wakipuuzwa, watalianzisha.
G Gypsum Screw JF-Expert Member Joined Jun 10, 2024 Posts 701 Reaction score 895 Jul 3, 2024 #4 kazi ipo
S stormryder JF-Expert Member Joined Mar 23, 2013 Posts 3,776 Reaction score 5,786 Jul 3, 2024 #5 Kumbe Kampina kama Nguvu za Kisiasa
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Jul 3, 2024 #7 Si hawa hawa walikuwa wakilalamika kuwa Sukari hamna kwenye Ramazani na Kwaresma?!
A Afroman JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 1,443 Reaction score 1,927 Jul 3, 2024 #8 Sexless said: Mungu amejibu maombi yetu. Hawa sasa ndiyo Gen Z ya Tanzania. Wakipuuzwa, watalianzisha. Click to expand... Sawa kabisa!
Sexless said: Mungu amejibu maombi yetu. Hawa sasa ndiyo Gen Z ya Tanzania. Wakipuuzwa, watalianzisha. Click to expand... Sawa kabisa!
denoo JG JF-Expert Member Joined Oct 27, 2023 Posts 2,701 Reaction score 9,759 Jul 3, 2024 #9 Sio viongozi wa dini pekee, yeyote asiyesimama na Mpina kwasasa kwasababu yoyote ile, ni mchawi wa Tanganyika.
Sio viongozi wa dini pekee, yeyote asiyesimama na Mpina kwasasa kwasababu yoyote ile, ni mchawi wa Tanganyika.
M MzalendoHalisi JF-Expert Member Joined Jun 24, 2007 Posts 4,679 Reaction score 1,612 Jul 3, 2024 #10 Mpina ni sahihi sasa bungeni asikilizwe Ndani bunge kura wizi Magufuli? Mpina gombea ubunge popote Tz utapata iwe mjini au majiji Magufuli alishakufa hakuna MTU mwema pigana Mpina
Mpina ni sahihi sasa bungeni asikilizwe Ndani bunge kura wizi Magufuli? Mpina gombea ubunge popote Tz utapata iwe mjini au majiji Magufuli alishakufa hakuna MTU mwema pigana Mpina
M mliberali JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 12,346 Reaction score 15,249 Jul 3, 2024 #11 MIXOLOGIST said: Viongozi wenyewe wamechoka sana Click to expand... Ndio sukari inayouzwa 10,000 kwa kilo imewachosha
MIXOLOGIST said: Viongozi wenyewe wamechoka sana Click to expand... Ndio sukari inayouzwa 10,000 kwa kilo imewachosha
AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,880 Reaction score 8,424 Jul 3, 2024 #12 Upinzani wa kweli hutoka ndani, huyu akiamua anaweza itikisa sana CCM kuliko hata Lisu kama akiamua bila kuogopa wala kuhofia masirah binafsi.
Upinzani wa kweli hutoka ndani, huyu akiamua anaweza itikisa sana CCM kuliko hata Lisu kama akiamua bila kuogopa wala kuhofia masirah binafsi.