Viongozi wa Dini wamtetea Luhaga Mpina

Viongozi wa Dini wamtetea Luhaga Mpina

Stuka

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
282
Reaction score
906

 
Si hawa hawa walikuwa wakilalamika kuwa Sukari hamna kwenye Ramazani na Kwaresma?!
 
Mpina ni sahihi sasa bungeni asikilizwe Ndani bunge kura wizi Magufuli? Mpina gombea ubunge popote Tz utapata iwe mjini au majiji Magufuli alishakufa hakuna MTU mwema pigana Mpina
 
Upinzani wa kweli hutoka ndani, huyu akiamua anaweza itikisa sana CCM kuliko hata Lisu kama akiamua bila kuogopa wala kuhofia masirah binafsi.
 
Back
Top Bottom